06 Julai 2015

IS washambuliwa vikali mjini Raqa

IS washambuliwa vikali mjini Raqa
Muungano unaongozwa na Marekani unasema kuwa umefanya mashambulizi makubwa ya angani dhidi ya wanamgambo wa islamic state katika ngome yao kuu ambao ni
mji wa Raqa.
Msemaji wa Mareknai aliyataja mashambulizi hayo kuwa moja ya makubwa zaidi kuwai kuendeshwa nchini Syria hadi leo akisema kuwa lengo kuu lilikuwa ni kuwazuia IS kuondoa wapiganaji wake kutoka mji huo.
Shirika moja la waangalizi lilisema kuwa ndege isiyokuwa na rubani ya Marekani ilishambulia shule mjini Raqa ambapo raia watatu waliuawa akiwemo mtoto na mwanamgambo wa Islamic State.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728