12 Julai 2015

Shilole: Nuh Mziwanda Amenifanya Niwe Msichana Mwema

Shilole: Nuh Mziwanda Amenifanya Niwe Msichana MwemaShilole amesema yeye ni ‘bad girl gone good’ thanks kwa mpenzi wake, Nuh Mziwanda.
Shilole anadai Nuh amembadilisha na kumfanya kuwa msichana mtulivu Muimbaji huyo amesema kabla ya kukutana na Nuh Mziwanda alikuwa ‘walu walu.’

Akiongea kwenye kipindi cha Mkasi, Shilole amesema Nuh amembadilisha kwa kiasi kikubwa na kwamba hajawahi kusaliti penzi lao. Shilole akiwa kwenye kipindi cha Mkasi “Kabla sijawa na Nuh ndio nilikuwa walu walu, yeye ndio amenibadilisha.
Baada ya kukutana naye tukazungumza na kupanga mambo mbalimbali kuhusu maisha yetu, sijawahi kumcheat Nuh.”

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728