04 Julai 2015

Mwanaume aliyezaa na Shilole Atoboa Haya Kuhusu Yeye na Shilole

Mwanaume aliyezaa na Shilole Atoboa Haya Kuhusu Yeye na ShiloleYule mwanaume aliyezaa na Staa wa Bongo Movies na Fleva,Shilole,aitwaye Elias Makala ameibuka na kuzungumza na U heard na Soudy Brown kuwa hakuwahi kumbaka msaniii huyo kama ambayo anazungumza kwenye vyombo vya habari.

‘’Mimi namshangaa sana Shilole anavyosema kuwa nilimbaka,sijawahi kumbaka nilikuwa naishi naye kama mume na mke kwa zaidi ya miaka saba, na nilimuuliza kwanini anasema uongo kuwa nilimbaka alinijibu kuwa habari hiyo inamsaidia kumpaisha (kick) kwenye muziki wake,’’alisema Makala.
Hata hivyo alipoulizwa kama anasikia wivu anasikia na kumuona Shilole akila raha na mpenzi wake mpya msanii Nuh Mziwanda alisema kuwa haoni wivu kwa kuwa Nuh anakula makombo yake kwani yeye ndiye aliyeanza kuwa na msanii huyo.
‘’Sioni wivu kabisa miye ndiyo niliyeanza huyo Nuh anakula makombo yangu,hata hivyo mimi nina mke na familia yangu huku Igunga,’aliongeza Makala.
Msanii Shilole alipoulizwa alisema kuwa hawezi kumzungumzia mwanaume huyo ambaye hajui kama mtoto wake anaishi vipi,anasoma wapi, na anakula nini.
‘’Huwa sipendi kabisa kumzungumzia mwanaume huyo ambaye hajui mtoto wake anaishi vipi,anasoma wapi na anakula nini,’’alijibu Shilole.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728