16 Julai 2015
MCHUNGAJI AFANYA MAOMBI YA AJABU KANISANI.>>kama ndio wanaomba hivi mhhhh !!! balaa .
Mchungaji kutoka kanisa la Endtimes Disciples Ministries nchini South Afrika amekuwa akiwaagiza waumini wa kanisa hilo kula nyoka na mawe ili kupata uzima wa milele.Katika hali sio ya kawaida muda wa maombezi huwapandia juu ya mwili waumini wake ishara ya kutoa pepo.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni