22 Septemba 2016

Progamu ya Windows 10 lawamani

Mkurungezi mtendaji mkuu wa Microsoft Satya NadellaKampuni ya Microsoft imeshtumiwa na kundi la haki za wateja la Consumer Rights dhidi ya programu yake ya Windows 10.
Kundi hilo limesema limepokea mamia ya malalamishi kuhusiana na uboreshaji wa programu hiyo .

Watumiaji wa programu hiyo wanalazimika kulipia komputa zao ili zirekebishwa kutokana na faili kupotea.
Programu ya Windows 10 hutumika kwa simu aina ya smartphoneHatahivyo Microsoft ilitetea programu hiyo ya Windows 10 na kusisitiza kuwa imekuwa ikitoa usaidizi kupitia mtandaoni na vilevile kwa simu.
Imeongezea kwamba itawasaidia watu kupata programu yenye manufaa na yenye usalama dhabiti, kulingana na msemaji wa kampuni hiyo.
Kundi hio limesema watumiaji wamekuwa wakilalamikia ujumbe uliokuwa ukijitokeza kwenye tarakilishi na simu zao kila mara, kuwahimiza kuboresha programu hiyo mbali na programu hiyo ya Windows 10 kujiweka yenyewe bila idhini ya mtumiaji.
Pia kumekuwa na malalamiko kuhusiana na huduma mbaya kwa wateja wake,pale wanapohitaji msaada kutoka kwa kampuni hiyo.
Programu hiyo ya windows 10 ilizinduliwa mwezi Julai mwaka 2015, na hutumika katika tarakilishi,simu aina ya smartphone, na vifaa vya kusikilizia sauti vya HoloLens.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728