
Muandamanaji mmoja yupo katika hali mahututi baada ya kuzuka
ufyetulianaji risasi baina ya raia, maafisa wa mji walisema.
Bwana Scott was ni mwanamume wa tatu raia wa Marekani mwenye asili ya kiafrika kuuawa na polisi katika wiki moja.
Mauaji haya yamesbabisha maandamano makubwa katika siku za hivi karibuni

Awali Gavana wa North Carolina Governor Pat McCrory amesema ameanzisha jitihada kutuma jeshi la ulinzi na maafisa wa polisi wa trafiki kusaidia kukabiliana na maandamano hayo.
"ghasia zozote zinazoelekezwa dhidi ya raia wetu au maafisa wa polisi au kusababisha uharibifu wa mali hazikubaliki," alisema.
Waandamanji wana hasira kuwa bwana Scott, mwenye umri wa miaka 43, ameuawa na Polisi Jumanne mchana katika hali ya kutatanisha karibu na eneo la makaazi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni