Hivi sasa wawili hao wanaonekana sehemu mablimbali wakiwa wapo close na kutupia mapicha mtandaoni kitu kinachompa presha mwadada Siwema ambae hivi majuzi alinyang’anywa mototo na Nay Wa Mitego na hiyo kuamua kurusha madogo mtandaoni.
Japo kuwa Nay wa Mitego yupo mstari wa mbele kuwapondea wadada wa Bongo Movies kwenye nyimbo zake, lakini kwenye maisha halisi anaonekana kuwzimia sana kwani alishakuwa na mahusia yo kimapenzi na wadadawa bongo movies kadhaa kabla ya Shamsa wakiwemo Nisha na Bozi.
Hapo juu ni picha za Nay akuwa na Shamsa, na madongo ya Siwema kwa picha hiyo, huku nyingine ni Shamsa akiwa na dada wa Nay.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni