28 Aprili 2015

Kesi ya ndoa za jinsia moja kusikizwa US

Mahakama kuu nchini Marekani hii leo itasikiliza kesi kadha kuamua ikiwa wapenzi wa jinsia moja wana haki ya
kisheria kuweza kufunga ndoa.
Suala hilo limeigawa Marekani kwa muongo mmoja uliopita, huku majimbo 36 kati ya majimbo yote 50 nchini humo yakiwa yamehalalisha ndoa za watu wa jinsia moja.
Mahakama itasikiliza rufaa kutoka kwa watu 16 kutoka majimbo manne ya Ohio, Michigan, Tennessee na Kentucky ambapo ndoa hiyo bado ni haramu.
Ikiwa mahakama kuu itahalalisha ndoa hiyo, basi itakuwa halali kwenye majimbo yote 13 ambayo yamepiga marufuku ndoa za watu wa jinsia moja.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728