14 Aprili 2015

Hiki Ndio Chazo cha Wema Kufunguka Kuwa Uwezo Hana Wakupata Mtoto

Hiki Ndio Chazo cha Wema Kufunguka Kuwa Uwezo Hana Wakupata Mtoto
Hivi juzi kati staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu aliandika kupitia ukursa wake mtandaoni akilelezea machungu aliyonayo kwa kutokuwa na uwezo wa kupata mtoto lakini yote kamuachia Mungu hii ni kutokana na watu kumuandama sana mtandaoni kuhusu swala hilo. Sakata zima lilianzia hapa.

Wema kupitia ukurasa wake mtandaoni alimpongeza staa mwenzake Hamisa Mobeto kwa kujifungua mtoto kwa kubandika picha hiyo hapo juu ana kuandika;
They say u are nat yet a woman Until you experience motherhood........ By da way who are they who keep saying things everytime... They always have something to say dont they..? Lol... Back to reality... Jamani my mdogo umezaa...! I just heard you were pregnant... Oh my...! Hongera mamy.... You are a Woman now....! Cant even start to tell u how much I envy you ryt now... Congratulations either way....Lotsa kisses to the beautiful lil angel....Awwwwwww look at you.....”
Kwa wale wanaujuakidogo lugha ya malkia watakuwa wamepata kitu hapo. Lakini kilichosababisha balaa na kuleta malumbanoa mbayo yalipelekea matumizi ya kejeli na matusi ni huo usemi wa kuwa hauwezi kuwa mwanamke kamili hadi uzae mtoto aliounukuu Wema hapo mwanzo.
Hapo ndio watu wakaanza kumponda na kumkejeli Wema huku wengine wakiwataka watu hao wamuache kwani yote ni mipango ya Mungu.
Futuatia Komenti nyingi za kumshambulia, Wema ndipo alipoamua kuja na andiko la kuelezea ni jinsi gani anavyoumizwa na hali ya kutoweza kuwa na mtoto na kuandika:

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728