Ni siku ambayo siwezi kusahau maisha yangu yote pumzika kwa amani kanumba wangu., nilikupenda ila mungu alikupenda zaidi . Pumzika kwa amani.
Johari
Huwezi kutaja mafanikio ya bongo movies bila kukutaja wewe...tunakuthamini na tunakukumbuka milele
JB
Steven Charles Kanumba pengo lako mpaka leo atujaweza kuliziba na sidhani kama tutaweza tena ingawa Sasa umetimiza miaka mitatu tangu ulipotuacha ghafla kiukweli ni ngumu sana kusahau Tutakukumbuka daima kwani tunapozungumzia kiwanda cha sinema nchini lazima tulitaje jina lako kaka angu ...R.I.P KANUMBA.
Odama
Ni miaka 3 tangu umeondoka marehemu kanumba.Tulikuhitaji sana but Mungu alikuhitaji zaidi.ulikuwa una mchango mkubwa sana katika kuipeperusha bendera ya Tanzania.uliipenda kazi yako toka moyoni kiasi cha kutumia hata hela ya mfukoni mwako kujitangaza kimataifa.Mungu ailaze roho yako mahala pema peponi k...TOO PAINFULY
Shamsa ford
Nimiaka mitatu tangu utuache lakini tunaona kamajana Dah hakika pengo lako haliwezi kuzibika.... Mungu akuweke unapo stahili.... Amin
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni