Watu watano zaidi wameuawa katika mashambulizi ya kibaguzi katika mji wa Durban nchini Africa Kusini.
Doria
za maafisa wa polisi zimeimarishwa dhidi ya mashambulizi zaidi ya
maduka yanayomilikiwa na wahamiaji kutoka mataifa mengine ya afrika.Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma ameshtumu mashambulizi hayo na kubuni kamati ya kujaribu kurejesha hali ya usalama.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni