Huu ndio ulikuwa mtoko wake wa sikukuu ya PASAKA hapo jana. Mbali ya picha hizi kusababisha mafuriko ya LIKES na COMMENTS huko Instagram, Sio mbaya nawewe hapa kama mdau ukasafisha macho na picha hizi na kufunguka chochote kuhusu mtoko huu wa mrembo huyu ambae anatajwa kama ni mmoja kati waigizaji wa rembo zaidi hapa Bongo.
Kwa upande wangu Irene ndio staa alitokelezea bomba zaidi kwa siku ya jana. Umependeza sana Uwoya.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni