15 Aprili 2015

Morogoro: Watu 9 wakamatwa Msikitini wakiwa na vifaa vya mlipuko

Name:  gaidi3.png
Views: 0
Size:  231.1 KBWatu 9 wamekamatwa Morogoro wakiwa wamejifungia kwenye msikiti na vifaa vya milipuko, katika purukushani hiyo askari mmoja amejeruhiwa kwa kukatwa na jambia.
- Mmoja aliyejulikana kwa jina la Omary, ameuawa kwa kuchomwa moto na wananchi, alikuwa mkazi wa Ruhembe Kilombero

Name:  gaidi2.png
Views: 0
Size:  218.4 KBName:  Gaidi1.png
Views: 0
Size:  246.3 KB

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728