Waziri mstaafu wa mambo ya ndani wa Kenya
Joseph Nkaissery, ameithibitishia BBC kwamba serikali ya Kenya
imesitisha matumizi ya akaunti za watu binafsi wapatao themanini na sita
wanaohusishwa na ufadhili wa kundi la kigaidi la Al Shabaab nchini
humo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni