Akizungumza na gazeti la Ijumaa hivi karibuni, Maya alisema kuwa kuna wakati anakaa na kufikiria sana hatma yao na kuona kwamba kama imeshindikana kuolewa basi wapate hata watoto angalau nao wajidai kama wenzao.
“Mimi na Johari ni wasanii wakongwe sasa sijui ni gundu ama nini, kama hatupo kwenye listi ya wale wa kuolewa basi tupate hata mtoto mmojammoja maana mimi naona tunazidi kuzeeka kabisa kila siku inayoenda kwa Mungu,” alisema Maya.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni