
Tangu asubuhi ya jumatatu hii mitaa ya Kanyosha, Musaga Nyakabiga, Cibitoke na Mutakura raia wameteremka kwenye barabara kuu za mitaa hiyo wakikusudia kuelekea katikati ya jiji na hivyo kuzuwiliwa na askari polisi ambao ni wengi mno walotawanywa katika sehemu zote za jiji.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni