Picha za maelfu ya vijana wanaojaribu kuivuka Bahari ya Mediterrenean kuingia barani Ulaya mara nyingi zinawahusu Waafrika ambaokutokana na kukata kwa tamaa, hujining’iniza kwenye maboti na maboya, wakielea majini wakiwa maiti, au wakipelekwa ufuoni, wakiwa hoi. Je, picha hizi zinaibua hisia zipi miongoni mwa Waafrika wanaoishi hapa Ulaya?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni