29 Septemba 2014

Arsenal star sends message to Chelsea ahead of weekend encounter!!!



England youngster insists Arsenal will challenge Chelsea on Sunday
Arsenal youngster Alex Oxlade-Chamberlain has promised to attack Chelsea's defence on Sunday.

Despite injuries to many attackers, Chamberlain has vowed to attempt to beat the league leaders during Arsene Wenger's 1000th game in charge at Arsenal.

"We do understand what happened there last season," said Oxlade-Chamberlain. "Maybe we have got a point to prove there, we know this year we have got to step up in the big games and get some results in them this year.

"We're really looking forward to that game. We definitely give Chelsea the respect they deserve but, at the same time, I have belief in my team-mates and we do in ourselves to be able to go to a place like Chelsea and set the tempo and hopefully take control of the game. There will be times in the game I'm sure when they have a spell, because they are a top team.

"It's two good sides. They are going to have their time, we are going to have ours, we just have to make sure that when we do have our chances we make them count."

Dereva bodaboda atuhumiwa kumtorosha mwanafunzi

DEREVA wa pikipiki (bodaboda) Emanuel Kahemela aliyehukumiwa kifungo cha uangalizi kwa mwaka mmoja nje katika kesi ya kubaka kwa kuishi na binti (jina linahifadhiwa) mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari Mlamke ya Halmashuri ya Manispaa Iringa, amemtorosha tena.

Kahemela, alimtorosha binti huyo kwa kipindi cha miezi mitatu na kwenda kuishi naye kinyumba kabla ya kukamatwa na kuhukumiwa kifunguo hicho ambacho alikiuka.

Akizungumza na Tanzania Daima, Yusuph Mwimbage, alisema Kahemela alifunguliwa kesi ya kubaka na polisi yenye namba IR/RB/5156/2014, ambayo ilifunguliwa katika Mahakama ya Wilaya ya Iringa, ambako Hakimu John Mpitanjia alitoa hukumu hiyo.

Mwimbage, alisema baada ya hukumu hiyo Kihemela alirudi nyumbani kwa mlezi wa binti huyo Amina Mwimbage, ambako alifanya vurugu kisha kumtorosha tena binti huyo.

Alisema walipofuatilia mahakamani walibaini hukumu ilitolewa bila walezi wa binti huyo kuwepo hali inayozua shaka, kwa kuwa walipofuatilia walibaini kulikuwa na ujanja umefanyika kupunguza umri wa Kahemela, kutoka miaka 21 hadi 17.

Alisema ujanja huo ulifanywa kwa lengo la kumuepusha kijana huyo kuhukumiwa kama mtu mzima, kwa kuwa sheria inatambua umri wa mtu mzima unaanzia miaka 18.

“Sisi tunaomba ngazi za juu zilifuatilie suala hili maana tunaona haki inaminywa, binti yetu ameachishwa shule na kutoroshwa….hii si haki hata kidogo,” alisema.

MAN U

IMEWADIA

Hayawihayawi sasa yamekuwa ile siku kubwa na kuu iliyokuwa inasubiriwa sasa imewadia sabato ya wageni external. karibuni wote

Chelsea 3-0 Aston Villa: Match Report


Costa continues hot start in win

Diego Costa continued his remarkable start to life in the Premier League as Jose Mourinho celebrated his 250th match as Chelsea boss with a 3-0 defeat of Aston Villa.

Oscar put the Blues in front after seven minutes before Costa, selected despite his troublesome hamstring limiting him to one game a week, headed in after 59 minutes.

It was the Brazil-born Spain striker's eighth goal in his first six Premier League games, a tally second only to Micky Quinn's 10 with Coventry 22 years ago.

The clinical streak seems, initially at least, to fully justify the B#32million Chelsea paid Atletico Madrid in the summer, although Costa also missed chances against a stubborn Villa.

A third Chelsea goal came from Costa's saved shot as Willian netted before the Spain striker was taken off in the hope he can recover in time to feature in Tuesday's Champions League Group G clash at Sporting Lisbon.

Villa began the day in third, three points behind leaders Chelsea, who reverted to 10 of the side which began last Sunday's draw at Manchester City.

Only three were retained following the midweek Capital One Cup defeat of Bolton in Gary Cahill, Cesar Azpilicueta and Oscar, who took the place of Ramires (groin) from the City starting side.

The Brazil playmaker broke the deadlock after Branislav Ivanovic freed Willian down the right.

25 Septemba 2014

KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO EXTERNAL RATIBA

















RATIBA NA TARATIBU ZA IBADA KATIKA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO EXTERNAL-UBUNGO DAR ES SALAAM
Jumapili 10:00am-13:00pmMazoezi ya kwaya ya kanisa UFUNUO
2:00pm-4:00pmMazoezi ya kwaya ya vijana GENESISS
""****************************************************""
Jumatatu17:30pm-18:30pmMasomoya uwakili
""****************************************************""
Jumanne 17:00pm-18:00pm Mazoezi ya kwaya ya kanisa UFUNUO
17:30pm-18:30pm Masomo ya uwakili
""****************************************************""
Jumatano ---------
17:30pm-18:30pmMasomo ya uwakili na maombi
""****************************************************""
Alhamisi -----------------
17:30pm-18:30pmMasomo ya uwakili
""****************************************************""
Ijumaa ----------
17:00pm-18:00pmMasomo ya uwakili,maombi na kufungua sabato
""****************************************************"">
Jumamosi 8:00am-9:00amMwongozo wa kujifunza biblia darasa la waalimu
9:00am-9:15Kujifunza nyimbo za kitabuni
9:15am-9:45amShule ya sabato sehemu ya kwanza
9:45am-10:45amSule ya sabato sehemu ya pili ,mgawanyiko wa madarasa
10:45am-11:00amMatangazo ya kanisa kwa ujumla
11:00am-12:30pmIbada kuu
12:30pm-14:00pmMapumziko mafupi kwa ajili ya chakula cha kimwili
14:00pm-15:00pmMazoezi ya kwaya
15:00pm-17:00pmMasomo ya mchana yanayo simamiwa na idara mbalimbali
17:00pm-18:00pmKipindi cha maidara
12:00pmSomo fupi kwaajili ya kufunga sabato
"""*****Kawishe the coder*****""" ----------------- """***KARIBUNI SANA***"""

Tetesi za iPhone 6 kujipinda





Watafiti wamechanganyikiwa kuhusu ikiwa kampuni ya Apple inapaswa kutoa kauli yake kuhusu ripoti kuwa simu yake mpya ya iPhone 6 inajipinda mtumiaji anapoishi kuiweka ndani ya mfuko wa suruale yake.

Watu kadhaa ambao ni watumiaji wa iPhone 6 wamekuwa wakituma picha zao kwenye mtandao wa MacRumors ambazo zineonekana kuonyesha simu zao zikiwa na tatizo hilo.

Mwandishi wa habari kwenye mtandao wa 'Geek.com' pia aliripoti kuwa simu yake ye iPhone 6 imejipinda.

Na haijulikani nini hasa kinachoifanya simu hiyo kujipinda, baadhi wakisema huenda ni gamba lake ambalo limetengezwa kwa madini ya Aluminium ambalo linaifanya rahisi kwa simu hiyo kujipinda.

Taarifa za iPhone 6 kujipinda hazijaripotiwa tu kwenye blogu za habari za kiteknolojia bali pia kwenye vyombo vya habari kama Independent, the Washington Post, India Today na the Sydney Morning Herald.



Russell Holly, anayefanyia kazi mtandao wa habari wa geek.com,ni mmoja wa wale walioripoti kuwa simu yake imejipinda.

Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa Twitter, wametu moani yao kuhusu habari za simu hiyo kujipinda.
BBC ilijaribu kuwasiliana na Apple kuhusu ripoti hizo lakini haijasema chochote mpaka sasa.

Mmoja wa wataalamu wa maswala ya kiteknolojia, anasema kuwa kampuni ya Apple inapaswa kuchunguza malalamiko hayo na hata kutoa taarifa rasmi haraka iwezekanavyo.

Jasdeep Badyal anasema kuwa Apple inapaswa kujibu madai hayo na kisha ikiwa ni kweli, basi inapaswa kuchukua hatua ya kuwapa simu mpya watu walioripoti kuwa simu zao zimejipinda.

Aliongeza kuwa hata kama kulikuwa na simu kdhaa tu zenye tatizo hilo, kampuni hiyo inapaswa kutoa taarifa na kueleza kilichofanyika.

FIESTA 2014 NISHIDA

T.I kutimba dar fiesta 2014 ni hapo tarehe 18 mwezi wa kumi ni balaa

24 Septemba 2014

Jaja afuta kesi ya Okwi Fifa

Dar es Salaam. Kiwango cha juu kilichoonyeshwa na mshambuliaji Genilson Santos ‘Jaja’ kimefanya uongozi wa Yanga, kutupilia mbali wazo la kumshitaki Emmanuel Okwi kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa( Fifa).

Tangu aliposajiliwa na Yanga, Jaja ameonyesha kiwango cha juu cha ufungaji mabao akiwa amefunga mabao manne katika mechi sita alizocheza hadi sasa katika michuano mbalimbali.

Jaja aliwasahaulisha Wanayanga kabisa habari za Okwi wakati alipofunga mabao mawili ya ufundi wa hali ya juu katika mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Azam walioshinda 3-0.

Kwa mujibu wa taarifa ilizolifikia gazeti hili, zinasema kikao kilichofanyika wiki iliyopita kati ya wanasheria na baadhi ya wanachama wa Yanga wamemshauri mwenyekiti wao Yusuf Manji kuachana na jambo hilo kwa sasa.

“Ni ukweli ulio wazi hakuna mwanachama yeyote wa Yanga anayetaka Okwi arudi; kutaka kwenda Fifa ni kupoteza muda na fedha nyingi ambazo zingeweza kufanya vitu vingine vya maana. Okwi mwenyewe amekwisha, hizo Dola 60,000 alizochukua ni sadaka tumempa,” alisema mmoja wa viongozi wa Yanga ambaye hakupenda kutajwa jina.


Wakili wa Yanga, Sam Mapande alipoulizwa kuhusiaana na suala hilo alisema “Ni kama limeisha siwezi kulizungumza kwa undani Katibu Mkuu Beno Njovu ndiyo mwenye mamlaka ya kufanya hivyo.”

Naye Benno Njovu alipotafutwa kuhisana na suala hilo alisema “Unajua haya mambo ni ya kimahakama sasa kama kitu kipo mahakamani siwezi kukizungumzia.”

Alipoulizwa iwapo wameacha kwenda Fifa na badala yake wamekimbilia mahakamani, Njovu alisema, “Hata huko Fifa ni mtindo wa mahakama, nisingependa kuongelea kitu kilichopo mahakamani.”

Mwanzoni mwa mwezi huu, TFF kupitia kwa Kamati ya Sheria na Hadhi ya wachezaji chini ya Richard Sinamtwa ilimuidhinisha Okwi kuwa ni mchezaji huru na ana uwezo wa kujiunga na timu yoyote baada ya kubaini Yanga ilikiuka makubaliano ya mkataba na ilikuwa na lengo ya kumkomoa mchezaji.

Yanga iliingia kwenye mgogoro na mshambualiji huyo baada ya kushindwa kumtimizia mahitaji yake ya kimkataba ikiwa ni kummalizia deni lake la Dola 50,000 za usajili, nyumba na bima.

Fans shower praise on Vodacom, EATV

Music stakeholders in the country have expressed their appreciation to Vodacom and East Africa Television (EATV), for successful coordination of Dance 100% competition.

Held on Saturday last week, the competition’s semi-finals saw five groups cruising into the finals.

The competition involved ten groups which were able to make to quarter-finals attracting attention of a great deal of city residents who turned out to watch young dancers at Don Bosco grounds in Dar es Salaam
‘As one of the music fans who have come to watch these competitions, I have enjoyed and learn a lot. I have been specifically attracted by extra ordinary dancing skills displayed by these young dancers,” said city resident, Ramadhani Malenge ‘Ramso’.

Malenge said the young dancers displayed outstanding skills in dancing a situation which vividly gave a hard time to the judges.

He noted that, even those who ended in semi finals displayed extra ordinary skill urging them to keep on working for their talents.

Malenge who introduced himself as a ‘crazy’ music fan said it was real a hard work to judge which group was the best, since they all displayed outstanding performance.

He said, programs involving of promotion of youth talents are very important as they give chance for youth to display their hidden talents and also to learn from others expressing his appreciation to EATV and Vodacom for remarkable sponsorship
He further noted that, the judges at the Don Bosco grounds will have a tough work to choose who the best is during the finals since all the groups are well prepared, competent and formidable.


The groups which were able to make to the finals include Wazawa Crew, Best Boys Crew, The W.T, Wakali Sisi and The Winners Crew.

Another thrilled fan who introduced herself as Blandina Kingu ‘Queen B’, apart from expressing her appreciation for the competition idea, she suggested that nomination should be done in all the regions before the finals in Dar es Salaam.

Happy Shame who is competition coordinator acknowledged the existence of stiff competition adding that the competition has been getting popularity year after year.

‘This is the third year that we are running this competition under sponsorship from Vodacom Tanzania. However, this time popularity is far away from previous years and in lot of talented young dancers have taken part,’ she said
She said, the group that will emerge the winner in the competition which is aired by EATV every Wednesday at 7:00pm will walk away with cash price worth 5m/-.

Vodacom Tanzania public relation manager Matina Nkurlu congratulated all the contesters and encouraged those who couldn’t make to the finals.

‘Vodacom believes that, youths are development catalyst in different sectors if they are prepared and empowered. Our sponsorship to this competition goes in line with that concept. This is an opportunity for youths to display their talents and get a chance to be seen and recognised and in the future they can be employed through their talents,’ he said.

He urged Dar es Salaam residents to turn out in good number in the finals adding that they will also enjoy Vodacom products in the likes of modem and Samsung E1205 that will be sold at 25,000/- only.

Kili Music Tour yafanya kweli Tanga


Tamasha la Kili Music Tour linalodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager limeacha gumzo kubwa Tanga huku wasanii walioshiriki ziara ya muziki ya Kilimanjaro, inayotia nanga wiki hii katika viwanja vya Leaders kwa nyakati tofauti wamekiri kwamba kila mmoja kwa njia yake amejifunza makubwa katika ziara hiyo ambayo wengi wameitaja kuwa ni ziara namba moja kwa ubora

Wakiongea na waandishi wa habari kwa nyakati tofauti mara baada ya kushuka jukwaani wasanii hao waliisifu ziara hiyo kwanza kwa kuwa ni ziara inayowaweka wasanii kwenye hadhi lakini pia ni ziara ambayo ina mpangilio wa kueleweka.

Waliongea katika tamasha kubwa lililofanyika katika Uwanja wa Mkwakwani ambako maelfu ya mashabiki walijitokeza na kupata burudani ya aina yake iliyodumu kwa zaidi ya saa saba huku ikiwa na msisimko kuanzia mwanzo hadi mwisho.

Kwa upande wake Omary Nyembo au Ommy Dimpoz kama alivyozoeleka kuitwa na mashabiki wake, amesema Kili ni ziara iliyomuweka karibu na mashabiki wake wa kipato cha chini baada ya kuwa ni ziara yenye viingilio vya chini iliyohusisha wasanii wakubwa nchini.

Rich Mavoko, nyota wa wimbo unaotamba sasa hivi wa 'Roho Yangu' aliwaambia waandishi wa habari kwamba mwisho wa ziara hiyo ndiyo mwanzo wa kujipanga kwake kwa ajili ya ziara ya mwakani na ameahidi kurudi vingine huku akiwa ameongeza nguvu katika utendaji wake jukwaani.

Joseph Haule au Profesa Jay aliisifia ziara hiyo na wadhamini wake, Kilimanjaro Premium Lager kwa kuandaa ziara ya kizalendo ambayo imekuwa ikizunguka nchi nzima kuwanadi wasanii wa nyumbani na kuwakutanisha na mashabiki wao bila kuangalia faida, bali kuhakikisha muziki nwa Kitanzania unafika katika kilele cha mafanikio.

Kundi la muziki la Weusi lililo na wanamuziki watatu; Joh Makini, Nikki wa Pili na G Nako, wakiwakilishwa na msemaji wao Nikki wa Pili kwa upande wao waliishukuru kampuni ya Bia Tanzania kwa kuwapa nafasi ya kupanda katika majukwaa ya mikoa yote Tanzania ambako wamefanikiwa kuwaonesha mashabiki wao uwezo wao kikazi lakini pia wamejenga mahusiano na wadau.

Wasanii walioshiriki tamasha hilo ni pamoja na Ommy Dimpoz, Rich Mavoko, Ben Paul, Khadija Kopa, Mzee Yusuph, Profesa Jay na Weusi.

Kili Music Tour inaratibiwa na East Africa Radio na Tv, Executive Solutions, Integrated Communications, Aggrey & Clifford na Aim Group.Baada ya kuzunguka mikoa tisa, Jumamosi ijayo ni zamu ya Dar es Salaam ambako ziara hii itahitimishwa kwa kishindo.

Waziri Mkuu akutana na madaktari wa kujitolea toka ujerumani


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Madaktari kutoka Ujerumani ambao wako kwa muda katika Hospitali ya Kristo Mfalme ya Mjini Sumbawanga ambayo inamilikiwa na Kanisa Katoliki.

Diamond platnumz

Asikudanganje mtu eti ni kipaji tu, Hapana! ni juhudi pia, Heshima na kumtanguliza mwenyezi mungu mbele.... kumbuka hata mimi kabla ya mwaka 2009 nilisha toa zaidi ya Nyimbo 8, lakini zoke zikafeli... ila sikuzote nilijikaza na kujifunza kupitia makosa na hadi leo kufikia Hapa... #USICHOKE #Kwani_Ye_Aliwezaje

Chui Buka amuua mwanafunzi India


Chui Buka au 'Tiger', amemshambulia na kumuua mwanafunzi nchini India katika hifadhi ya wanyamapori ya Delhi. Msimamizi wa mbuga hiyo Riaz Khan amesema mvulana huyo alikuwa amevuka ua unaomfungia Chui huyo hatari.

Ripoti za mwanzoni zilimtaja mvulana huyo kuwa mwanafunzi. Picha za televisheni zilionyesha mwanafunzi huyo akiwa amejibana ukutani akijaribu kujikinga huku Chui huyo akiwa amesimama karibu naye.


Kwa mujibu wa mtu mmoja aliyeshuhudia tukio hilo, mvulana huyo alikuwa amejiegemeza kwenye ua huo uliokuwa mfupi sana.

''Mwendo wa saa saba unusu tulikuwa katika eneo lililo na wanyama wengine tuliposikia mayowe," Himanshu aliyeshuhudia tukio hilo aliambia CNN.

''Nilikimbia nikielekea eneo ambalo Chui huyo alikuwa amefungiwa, nikapata Chui Buka mweupe amemuuma mwanafunzi huyo shingoni huku akilia na kufurukuta kwa uchungu.

Watoto wengine walijaribu kumrushia chui huyo vijiti na mawe. Mvulana huyo aliumia kwa zaidi ya dakika kumi bila yeyote kumsaidia" Himanshu alisema polisi walifika ''haraka sana" lakini hawangeweza kumwokoa kijana huyo.


Kituo cha habari cha Reuters kilimnukuu mwelekezi wa hifadhi ya kitaifa ya wanyamapori ambayo inasimamia mbuga ya Delhi bw. Amitabh Agnihotri, akisema ameshtuliwa sana na kisa hicho.

''Bado sina uhakika kama kijana huyo aliruka ndani ya mbuga ama aliteleza kibahati mbaya," aliongeza.

Mwili huo umepelekwa kufanyiwa upasuaji ili kuthibitisha kilichotendeka huku polisi wakianzisha uchuguzi kuhusu tukio hilo.

Ebola:Wahudumu wengine washambuliwa


Shirikisho la kimataifa la msalaba mwekundu, limesema kuwa kikundi kingine cha wahudumu wa afya kilishambuliwa Jumanne Kusini Mashariki mwa Guinea walipokuwa wanakusanya miili ya watu waliofariki kutokana na Ebola.
Mfanyakazi mmoja wa shirika hilo, anauguza majeraha baada ya kujeruhiwa vibaya katika shambulizi hilo katika eneo la Forecariah.
Kulingana na mkazi mmoja, jamaa wa wagonjwa waliofariiki walianza kuwashambulia wafanyakazi hao sita wa kujitolea , na kuharibu magari yao pamoja na kuwashambulia kwa mawe wafanyakazi hao.
Huu ni uvamizi wa hivi karibuni dhidi ya wahudumu wa afya ambao bila shaka unatatiza juhudi za kupambana na ugonjwa huo mkali.
Wiki jana madaktari wengine na wandishi wa habari walishambuliwa Magharibi mwa nchi hiyo.

Chombo cha India chatua Mars

Wanasayansi wa anga za juu nchini India wanasema kuwa chombo chao cha safari za anga za juu kwa sasa kinazunguka sayari ya Mars.
Hii ndiyo mara ya kwanza kwa India kutuma mtambo wake kwenda kwa sayari hiyo, safari ambayo imepata umaarufu kutokana na gharama yake ya chini kabisa ya dola milioni 75 pekee.
India ndilo taifa la nne duniani kufaulu kufikisha chombo katika sayari ya Mars.
Mataifa mengine ambayo yamewasilisha vyombo vya utafiti wa anga za juu katika sayari hiyo ni Marekani Urusi na muungano wa mataifa ya Ulaya.
Chombo hicho ''The Mangalyaan robotic probe'' kinatarajiwa kuanza upekuzi na uchunguzi wa hali ya anga katika sayari hiyo nyekundu.
Waziri muu nchini India Narendra Modi ambaye alishuduia mafaniko ya chombo hicho kilichoanza safari yake miezi kumi iliyopita aliwapongeza wanaayansi hao kwa ufanisi huo mkubwa.


Aliwaambia kuwa mafanikio ya safari za anga za ju nchini India ni mfano mwema wa hatua ambazo taifa hilo linaweza kupiga akisema kuwa ana mpango wa kuboresha kitengo hicho.

Shirikisho la anga za mbali la Marekani NASA ambalo lilifikisha chombo chake ''Maven'' katika sayari ya Mars Jumatatu wiki hii, liliwapongeza wanasayansi wa India kwa ufanisi wao.
Kupitia kwa ujumbe wa mtandao wa Twitter NASA iliandika kuwa ''Tunawapongeza @ISRO kwa kuwasili katika sayare ya Mars .Mtajiunga na @MarsOrbiter kutathmini hali ilivyo katika sayare hiyo.

23 Septemba 2014

RASIMU YA KATIBA

Hatimaye rasimu ya mabadiliko ya katiba yakamilika na sasa inaelekea bungeni kwa ajili ya kupitishwa

BABA NA MWANA!!

Mzazi mmoja alikuwa akiongea na mwanae na mazungumzo yao yalikuwa kama hivi:-
Baba: Mwanamgu shika hii pesa Sh. 5000/= usimwambie mama yako kama nimelala kwa housegirl
Mtoto: Tatizo wewe baba mbakhili mama alipolala na dereva kanipa 100000/=
Baba: Eee….unasema vipi?

NITAKUJA KESHO!!

Mchawi mmoja kutoka kijiji cha Tanga alikuwa anasumbuliwa na magonjwa sugu ilibidi aende Kwa Mchungaji. Alipofika mchungaji bila kujua kama jamaa ni mchawi Babu: Karibu Mchawi: Asante Babu: Kabla ya kunywa dawa tunaanza na maombi. Mchawi: Kama ndiyo hivyo basi nitakuja kesho. Hiyo ni balaa

‘CCM haitarudisha viwanja’

Arusha. Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) hakitarejesha serikalini viwanja vyote vya soka nchini kinavyosimamia badala amewataka wanaoleta hoja hiyo kujenga viwanja vyao.

Nkamia alisema hayo wakati akihojiwa na waandishi wa habari katika ziara yake ya kikazi jijini Arusha, ambapo aliulizwa kuhusu uchakavu wa viwanja nchini vinavyosimamiwa na CCM na kwa nini visirudishwe serikalini.

Akijibu swali hilo Nkamia alisema kamwe CCM haiwezi kuvirudisha viwanja hivyo mikononi mwa serikali na endapo vyama vya siasa vya upinzani vina hoja hiyo basi vijenge viwanja vyao.

“Wapinzani kama wanaona viwanja vya CCM havifai basi wajenge vya kwao ,CCM haiwezi kurudisha viwanja hivyo mikononi mwa Serikali, ”alisema Nkamia Nkamia alisema Serikali imeanza kuweka mikakati ya kuviboresha viwanja hivyo huku akivitaja baadhi kuwa ni Uwanja wa Sokoine uliopo jijini Mbeya, Mkwakwani uliopo Tanga, CCM Kirumba Mwanza, Kambarage Shinyanga na Sheikh Amri Abeid uliopo Arusha.

Wakati huo huo, Nkamia alizungumzia mvutano uliopo ndani ya chama cha riadha nchini na kusema kuwa endapo maji yakizidi unga wao kama wasimamizi wa vyama vyote watalazimika kuingilia kati.

Naibu waziri huyo alidai kwamba wao kama Serikali hawajapokea malalamiko rasmi kuhusu mvutano huo zaidi ya kusikia kupitia vyombo vya habari.

Chadema wakacha kuandamana, Polisi watanda

Dar/Mikoani.

Jeshi la Polisi jana liliendelea kumwaga askari wake mitaani katika mikoa mbalimbali kudhibiti maandamano ya Chadema yaliyokuwa yametangazwa kufanyika nchi nzima.
Pamoja na kwamba juzi chama hicho kilisisitiza kufanya maandamano hayo, polisi waliyadhibiti maeneo yote yaliyotajwa na hadi jana jioni hakukuwa na dalili kuwa wafuasi hao wa Chadema wangejitokeza kuandamana kupinga kile walichoeleza ni kuendelea kwa vikao vya Bunge la Katiba baada ya kukubaliana visitishwe.

Tangu wiki iliyopita, polisi walijipanga kuzuia maandamano hayo ambayo tayari walikuwa wameyapiga marufuku tangu yalipotangazwa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe katika Mkutano Mkuu wa chama hicho uliofanyika hivi karibuni.


Dodoma Polisi waliimarisha ulinzi katika barabara zote zinazoingia na kutoka kwenye majengo ya Bunge huku Barabara ya Dodoma - Dar inayopita nje ya Bunge ikifungwa kwa muda kama ilivyokuwa Alhamisi iliyopita.

Wanachama na wafuasi wa Chadema wa Mjini Dodoma walitarajiwa kuandamana kuelekea bungeni.
Polisi walitanda barabara zote zinazoingia maeneo ya Bunge ikiwamo ile inayoanzia Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) hadi Hoteli ya Fifty Six ambako kila aliyepita katika barabara hiyo alihojiwa.
Polisi walimwagwa pia katika barabara inayoelekea Chuo cha Ufundi (Veta) na ile inayopita lango la kuingilia bungeni kwa viongozi wakuu wa Serikali akiwamo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.

Barabara ya Dodoma - Dar es Salaam inayopita nje ya Bunge, ilifungwa saa 3:00 asubuhi hadi Bunge lilipoahirishwa saa 6:00 mchana ndipo magari yaliporuhusiwa kupita.

Hata hivyo, ulinzi huo haukuwa mkali kulinganisha na ule uliokuwapo Septemba 18 na 19 ambako askari wa kikosi cha mbwa na farasi nao walishiriki katika ulinzi huo.

Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Dodoma, Jella Mambo alipoulizwa jana kuhusu maandamano hayo alisema hawakuwa wamepanga kuandamana jana, bali walikuwa wanaendelea na vikao vya kimkakati.

Man U hoi, Chelsea na Man citty washindwa kutambiana

London, England. Leicester City ilitoka nyuma kwa mabao 3-1 na kuibuka na ushindi wa mabao 5-3 dhidi ya Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa jana. United walionekana kama wangeibuka na ushindi wakati Robin van Persie alipofunga bao la mapema kabla ya Angel Di Maria kufunga la pili, lakini bao la kichwa la Leonardo Ulloa lilifanya matokeo kuwa 2-1 kabla ya Ander Herrera kufunga la tatu kwa United. Leicester walirudi uwanjani kwa kasi na kupata penalti iliyofungwa na David Nugent na Esteban Cambiasso alisawazisha bao la tatu, wakati Jamie Vardy akifunga la nne kabla ya Ulloa kufunga la tano. Ikiwatumia washambuliaji watatu, Radamel Falcao, Wayne Rooney na Robin van Persie, United ilishindwa kucheza vizuri katika kipindi cha pili na kuiruhusu Leicister kumiliki mpira walivyotaka.
Bao la Andre Schurrle la kipindi cha pili lilisawazishwa na Frank Lampard na kufanya mchezo kati ya Manchester City na Chelsea kumalizika kwa sare ya bao 1-1. Vijana wa kocha Jose Mourinho walilazimisha sare hiyo ugenini katika Uwanja wa Etihad na kufikisha pointi 13 kileleni ikiwa na michezo mitano iliyocheza. Katika mchezo huo, beki wa pembeni wa City, Pablo Zabaleta alitolewa kwa kadi ya pili ya njano kutokana na kumchezea vibaya Diego Costa kipindi cha pili. Mchezo huo ulionyesha kuwa ungekuwa na kadi nyekundu baada ya wachezaji saba kuonyeshwa kadi za njano katika kipindi cha kwanza. Kwa matokeo hayo, Chelsea imeendelea kubaki kileleni mwa msimamo ikiwa na tofauti ya pointi tatu, ikifuatiwa na Southamptom wenye pointi 10

Wasira: Urais si mama mkwe

Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Steven Wasira amesema hana sababu ya kuona haya kutangaza kuutaka urais kwa kuwa urais si ukwe ila anasubiri wakati mwafaka. Wasira alitoa kauli hiyo hivi karibuni alipokuwa akizungumza katika mahojiano maalumu na gazeti hili mjini Dodoma. “Watakaposema ruksa, nitasema na wala kugombea urais si suala la kuonea haya. Ni kutoa huduma kwa Watanzania. Unalionea haya la nini? Kwani kugombea urais ni ukwe?” alihoji Wasira na kuendelea; “Urais ni mama mkwe wako, hapana. Wakati ukifika nitasema tu. Na mradi kuna wananchi wanasemasema na wananitia moyo, ukifika wakati nitasema.” Hata hivyo, waziri huyo ameonya kuwa endapo urais utachezewa kwa kuingia mtu ambaye si mwadilifu, biashara atakayoifanya Ikulu itakuwa ni kuuza haki za watu. Alisema hawezi kufahamu nani atashinda katika kinyang’anyiro cha urais katika uchaguzi mkuu wa mwakani, lakini lazima rais awe mtu mwenye sifa za kushika nafasi hiyo.
“Mimi siwezi kufahamu ni nani ataongoza Tanzania, lakini ninaweza kusema sifa.” Alisema Wassira na kutaja sifa hizo kuwa ni pamoja na kuwa Mtanzania kwa sababu haiwezekani kuagiza mtu kutoka nje ya nchi kuja kuwania nafasi hiyo. Aliongeza; “Rais pia anatakiwa kuwa mzalendo anayeipenda nchi yake na adhihirishe mapenzi yake, awe na uwezo wa kuongoza na pia ame-prove (amedhihirisha) uwezo wake huo wa kuongoza.” Sifa nyingine ya urais, aliitaja kuwa ni mgombea kuwa mtu aliyewahi kuongoza taasisi nyingine na kuwaridhisha Watanzania kuwa aliongoza vizuri. “Lakini pia rais lazima awe mwadilifu maana unalinda haki za watu. Baba wa Taifa aliwahi kusema Ikulu kuna biashara gani, lakini kuna biashara ya nguvu tu. Unaweza kuuza haki za hao watu,” alisema na kuongeza; “Maana chakuuza pale hakuna. Mimi nafanya pale. Mimi naona watu wanamwagilia maua tu lakini kuna power (nguvu), kama wewe unapenda hela zaidi kuliko watu waliokuweka pale basi wewe utakuwa kazi yako ni kuuza haki zao.” Alisema sifa hizo ni za msingi na wala si ngumu na kama mtu hana, hana tu.

22 Septemba 2014

My whole life

I was born to reflect the image of a God who is powerful enough to create my universe, attentive enough to hear my prayers and loving enough to be defined by self-sacrifice. I find my greatest fulfillment on a journey toward purpose and wholeness.

KANISA LA POROMOKA 115 WAMERIPOTIWA KUFARIKI DUNIA

Serikali ya Afrika Kusini inasema kuwa watu miamoja na kumi na tano wengi wao wakiwa raia wa Afrika Kusini, walifariki baada ya kanisa kuporomoka nchini Nigeria.
Idadi kamili ya raia wa Afrika Kusini waliofariki ilikuwa 84. Ndege iliyowabeba manusura wa mkasa huo, kumi na sita kati yao wakiwa wamejeruhiwa vibaya, imewasili mjini Pretoria. Zaidi ya watu 300 kutoka Afrika Kusini walikuwa wametembelea kanisa hilo la 'All Nations' mjini Lagos, ambalo linaongozwa na mhubiri T.B. Joshua. Inaarifiwa jengo hilo liliporomoka kutokana na ujenzi mbovu. Mhubiri TB Joshua, amezua wasiwasi baada ya kuzungumzia kuona ndege iliyokuwa inazunguka juu ya kanisa hilo kabla ya jengo lenyewe kuporomoka.

BLOG OWNER

De profounder "Kawishe" hii ladies and gentlemen
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akizungumza na waandishi wa habari kulaani kupigwa kwa waandishi wa habari na pia kushutumu mpango mzima wa uchaguzi wa serikali za mitaa uliotangazwa na Waziri Mkuu kuwa utafanyika Desemba, mwaka huu.

JUMA LA UWAKILI

Juma la uwakili limekwisha kuanza katika kanisa la waadventistaexternal linaendelea kila siku saa kumi na moja jioni hadi saa kumi na mbili na nusu kwa muda wa siku saba karibuni wote tukajifunze ukuu wa MUNGU

20 Septemba 2014

OPENING UDSM FOR CONTINUING

Kwa wale wanaopenda kula bata habari njema ni hii kufungua chuo kwa wale wa mwaka wa pili na kuendelea ni tarehe 20/10/2014.

Kwahiyo endeleeni kula bata na kukusanya nguvu ili mtakapo rudi muweze kupambana katika masomo yenu nawatakia likizo njema na MUNGU awabariki asanteni.

SABATO YA TAREHE 20/9/2014 KWAJINA PATHFINDER(WATAFUTANJIA)

Hii ni leo katika kaisa la waadventisa wasabato, vijana kwa jina pathfinder (watafuta njia) vijana wa AY wakionyesha umahiri wao na uwezo wao katika kumtumikia MUNGU aliye hai. Walikuwa wakionyesha mambo mbalilnbali vikiwemo ;mafundisho makuu,kweli katika biblia,kukariri mafungu ya biblia,nyimbo,ngonjera na kupiga kwata kwa kiwango cha juu Watu wamekuwa wakitoa maoni mbalimbali na kuwapongeza watoto hao kwa unahiri wao wa kumtumikia MUNGU huku wazazi wengine wakitoa mwito kwa wazazi wengine kuwaruhusu watoto wao kuhudhuria mazoezi kwa vijana hao ambayo huwa yanatolewa katika siku za jumapili kuanzia saa tatu asubuhi Nachukua nafasi hii kuwaalika watu wote kujongea katika kanisa hili la aadventista wasabato external uweze kujionea jinsi watoto hao walivyo barikiwa uwezo mkubwa katika kumtumikia MUNGU kupitia nguvu zao akili zao ufahamu wao.

17 Septemba 2014

BREAKING NEWS

BREAKING NEWS; Watoto 12 wamekufa baada ya kupewa chanjo ya Surua inayosemakana haikuwa salama katika eneo linalodhibitiwa na waasi nchini Syria. NIPASHE

16 Septemba 2014

KAWISHE CONTRACTORS LIMITED

1. The name of the company is “KAWISHE CONTRACTORS LIMITED” 2. The Registered office of the Company is situated in Tanzania. The objects for which the Company is established are:- To engage in all business related to real estate ,estate agents construction a contractors, living houses, warehouses, roads, bridge and other building and repair works. To engage and or carry on the business of general civil works, engineering, constructions, buildings, renovations, office partitioners, dec-oratories, maintainers of dilapidated buildings, plumbing, furniture manufactures, suppliers and exporters, residential and office furnishers and general to be designers and fabricators of all kinds of gadgets whatsoever, to be timber processors, saw millers and suppliers of all kinds of timber, to be hardware and building materials suppliers, manufactures of electrical equipments and suppliers of same. To carry on the business of building contractors, leasing construction equipment, mansory and general construction contractors and among other things to construct, execute, carry out, equip, improve, work and advertise railways, tramways, docks harbours, sharves, canals, water-courses, irrigations, reclamations, sewage, drainage and other sanitary works, water, gas, electric and other supply works, houses, building and erections of every kind. To engage in and carry out the business of proprietors and managers of hotels, restaurants, cafes, road houses, motels, safari and holiday camps, caravan sites, guest houses, apartment housekeepers, refreshment and tea rooms, milk and snacks bars, tavern, beer house and lodging housekeepers and to provide food and catering services to individuals, private and public institutions and to industrial and business concerns. To build, construct, maintain, enlarge, pull down and remove or replace any building, offices, work, wharves, road, walls, fences, banks, dams sluices or water wharves and clear sites for the same. To erect and construct houses, buildings, or works of every description on any land of the company or upon other lands, or property and to pull down, rebuild, enlarge, alter and improve existing houses, buildings to convert any such land into roads, street squares, gardens and grounds for various activities. To engage in and carry on the business of manufacturers of and dealers in cement, lime, plasters, clay, whiting, gravel, stone, chipping, minerals, earth, fuel. Artificial stone bricks, tiles, roofing pipes, pottery, earthen wire, as well crushed stones and quarry extraction.

SABATO YA WAGENI

Kanisa la waadventista wasabato External-Ubungo,Dar es salaam limeandaa sabato ya wageni itakayo fanyika siku ya jumamosi tarehe 4 mwezi wa kumi mwaka huu 2014. Wazee wakanisa na washiki wote wa External wanayo furaha kukualika,kuwaalika nyote kuhudhulia katika siku hiyo kuu. kutakuwa na mafundisho makuu ya neno la Mungu,programu mbalimbali za watoto,vijana. Siku hiyo tutakaa pamoja wote tukijumuika kwa chakula cha kimwili na kiroho pia utakuwepo muda au kipindi kizuri cha kuwatunuku zawadi kwa wageni wote watakao hudhulia siku hiyo. Siku hii kuu watu wote mnaalikwa kwa kila kabila,lugha na jamaa alika na wenzako wote tujumuike kwa pamoja tupate mibaraka.Mungu akubariki sana unapopanga kutokukosa mibaraka hiyo.

15 Septemba 2014

AJALI YATOKEA MUSOMA

Ajali yakutisha yatokea musoma siku kadhaa zilizopita asubuhi watu kadhaa wameripotiwa kupoteza maisha papohapo baada ya mabasi mawili kugongana . Hadi sasa majeruhi kadhaa wamepelekwa hospitani
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728