20 Septemba 2014
SABATO YA TAREHE 20/9/2014 KWAJINA PATHFINDER(WATAFUTANJIA)
Hii ni leo katika kaisa la waadventisa wasabato, vijana kwa jina pathfinder (watafuta njia) vijana wa AY wakionyesha umahiri wao na uwezo wao katika kumtumikia MUNGU aliye hai.
Walikuwa wakionyesha mambo mbalilnbali vikiwemo ;mafundisho makuu,kweli katika biblia,kukariri mafungu ya biblia,nyimbo,ngonjera na kupiga kwata kwa kiwango cha juu
Watu wamekuwa wakitoa maoni mbalimbali na kuwapongeza watoto hao kwa unahiri wao wa kumtumikia MUNGU huku wazazi wengine wakitoa mwito kwa wazazi wengine kuwaruhusu watoto wao kuhudhuria mazoezi kwa vijana hao ambayo huwa yanatolewa katika siku za jumapili kuanzia saa tatu asubuhi
Nachukua nafasi hii kuwaalika watu wote kujongea katika kanisa hili la aadventista wasabato external uweze kujionea jinsi watoto hao walivyo barikiwa uwezo mkubwa katika kumtumikia MUNGU kupitia nguvu zao akili zao ufahamu wao.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni