23 Septemba 2014
NITAKUJA KESHO!!
Mchawi mmoja kutoka kijiji cha Tanga alikuwa anasumbuliwa na magonjwa sugu ilibidi aende Kwa Mchungaji. Alipofika mchungaji bila kujua kama jamaa ni mchawi
Babu: Karibu
Mchawi: Asante
Babu: Kabla ya kunywa dawa tunaanza na maombi.
Mchawi: Kama ndiyo hivyo basi nitakuja kesho.
Hiyo ni balaa
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni