03 Januari 2015

PANYA ROAD





 panya road kinondoni na mwananyamala muda huu wanafanya yao


- Panya Road ni criminal gang.Mengi huanza taratibu na kuja kuwa na nguvu za ajabu.Huwa na nguvu za kiuchumi pia ambazo hutokana na shughuli haramu za ujangili nk.Hivyo basi kama jeshi letu la polisi halina bado kitengo cha Gang Unit,kianzishwe.Huwa kuna tabia ya binadamu kuigana.Vijana wengine wanaweza kuiga "trend"

- Panya road ni kundi la kihuni.. Linatekeleza matukio mbali mbali ya kihalifu... Kama wizi.. Uporaji.. Utekaji nyara.. Uuaji.. Ubakaji.. etc.. Maskani kwake ni Mburahati... Nusu kama sio wote wadau wa hili kundi wanacheza michezo ya hatari hatari.. Vyuma vizito wengine wanaruka wanatua.

- Kuna taarifa zimekuwa zikitolewa juu ya uhusika wa Jeshi la Polisi. Kuna maeneo yanayodai Polisi hawajali wala kuingilia vurugu hizi, wengine wanadai polisi wamekimbia vurugu hizo huku katika maeneo mengine inasemekana polisi wamevaa nguo za raia ili kujichanganya na kuwakamata kwa urahisi washiriki wa kikundi hicho cha kihalifu.


- Panya Road wamevamia maeneo mengi Dar... Kijitonyama, Mwanyamala, Kinondoni ni vurugu tupu; risasi na mapanga

- Baa za Meridians, Jakaranda na Mango zimefungwa

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728