23 Februari 2015

MATUKIO YA KINYAMA DHIDI YA NDUGU ZETU MAALBINO

Tulipozaliwa hatukujua maisha yetu yatakuwaje...
sisi bado twahitaji kishi.. pamoja na kukatwa viungo vyetu
hatuna uwezo wowote wa kufanya chochote...
Lakini mioyo yetu haina furaha .....

Watu wakituona tulivyo sasa wanatuonea huruma..
hatujajua ni kwa nini...
Ila tunahofu na maisha yetu hadi sasa.
hatujui ni kwa nini.. mnavithaminisha viungo vyetu kuliko uhai wetu sisi albino

Ila tunaogopa kuishi...japo tumesha katwa viungo na pengine hatuwezi kufanya kazi tena tunaishia kuwa mahosipitalini.
Watu wakipita mahosipitalini kututembelea wanatuangalia sana.LAKINI KESHO TENA TUNASIKIA WENZETU WANA ZIDI KUUWAWA TENA CHA KUSIKITISHA ZAIDI HATA WATOTO WADONGO KAMA MTOTO YOHANA ALIVYO UWAWA KIKATILI NA KUZIKWA .
WATANZANIA WENZETU MTUONAVYO NDIVYO MLIVYOTUFANYIA . KWA WENGINE WENYE HURUMA MWAMBIENI RAISI AUNDE KURA YA SIRI KUBAINI HAYA MATUKIO YA MAUAJI HII NI ZAIDI YA UGAIDI
HAMTAKI NASISI TUISHI ,,,, HIVI HAMJUI MAISHA NI ZAWADI TOKA KWA MUNGU? NINI MNA NINI CHA ZAIDI HADI KUVITHAMINISHA VIUNGO VYETU KWAAJILI YA KUKIDHI TAMAA ZENU.
TUNAHITAJI KUISHI KAMA WENGINE NA TUNAOMBA MTUPIGANIE NA KUTULINDA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728