23 Februari 2015

Nyaraka za siri zamuumbua,Netanyahu


Nyaraka za siri zilizochapishwa na gazeti la Guardian la London ambazo waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alizihusisha na mpango wa nyuklia wa Iran 2012 imebainika kuwa madai hayo hayakuungwa mkono na idara za usalama za Israel.
Tuhuma hizo za Israel dhidi ya Iran zilitolewa na Netanyahu mwaka 2012. Moja ya taarifa hizo zilizovuja kupitia jalada hilo la Mossad lilionyesha kuwa Iran haikuwa na mpango wa uzalishaji Uranium kwa matumizi ya kawaida bali kutengenezea mabomu. Afisa mwandamizi wa Irael ameeleza kuwa jalada hilo la Mossad lililobeba kashfa hiyo kamwe halihusiani na kubeza madai ya Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuhusia na Iran na mpango wake wa Nyuklia. Chapisho hilo linadaiwa kuwa ni moja kati ya mamia ya machapisho ya siri yanayobeba taarifa za uchunguzi zilizofanywa na Al Jazeera kwa kushirikiana na gazeti la Guardian.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728