11 Februari 2015
NJE YA NCHI
Umoja wa Mataifa unasitisha uungwaji wake mkono kwa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo katika mapambano dhidi ya waasi wa kutoka Rwanda wa kundi la FDLR. Hatua hii inakuja baada ya Kongo kukataa kuwatimua majenerali wawili wanaoshukiwa kukiuka haki za binadamu.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni