01 Aprili 2017

Shigongo amshauri Diamond

March 31 2017 kupitia ukurasa wa Instagram wa Mkurugenzi wa kampuni ya Global Publishers, Eric Shigongo aliandika kumhusu Mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz kuhusu uelekeo wake

Ufafanuzi Juu Ya “Uzushi” Ulioenea Kwenye Mitandao Ya Kijamii Kuhusu Kufukuzwa Nchini Raia Wa Kenya, Wilayani Longido, Mkoa Wa Arusha.

Kumekuwepo taarifa ambazo zimekuwa zikiripotiwa kupitia Vyombo mbalimbali vya Habari pamoja na mitandao ya kijamii kuwa, Serikali ya Tanzania inafanya operesheni maalum inayolenga kuwaondoa Raia wa Kenya wanaoishi nchini bila kuwa na

Juan Mata pigo kwa Man united

Kiungo wa kimataifa wa Hispania anayeichezea Man United ya England Juan Mata jina lake limerudi kwenye headlines baada ya

Bibi wa miaka 60 kwa tuhuma za kuwachoma wajukuu wake

JESHI la Polisi mkoani Simiyu, linamshikilia mkazi wa Bariadi mkoani hapa, Joyce Mganga (60), kwa kosa la kuwachoma moto wajukuu zake kwa kutumia panga la

Nikki wa Pili Afunguka

RAPA anayetamba na ngoma ya Sweet Mangi, Nickson Simon ‘Nikki wa Pili’ amefungukia maisha yake ya kimapenzi na

30 Machi 2017

Wenger aomba aongezewe miaka miwili

Kocha Arsene Wenger ameauambia uongozi wa Arsenal kwamba anataka kuendelea kubaki Emirates kwa miaka miwili.

Katika mkutano pamoja na uongozi wiki iliyopita, Wenger ameweka wazi yake ya

Kilimo Bora cha Nyanya; Maandalizi Ya Mbegu, Shamba Na Upandaji Wa Miche

Habari ndugu msomaji wa wetu wa makala za kilimo, Natumaini tunaendelea vizuri na mapambano ya kila siku. Leo tutaanza kujifunza kilimo cha bora cha nyanya, na tutaanza kufahamu vitu vya msingi

Njia Bora Za Asili Za Kukuza Nywele Zako Mambo Unayotakiwa Kuyafanya

Kwa wale ambao tuna nywele asilia a.k.a natural hair,tayari tunafahamu changamoto kadhaa tunazokumbana nazo.Kwa wale mnaofikiria kuanza kuwa na nywele asilia,karibuni sana tuendelee kujuzana namna ya

Mtoto wa Trump aukataa mshara wa Baba yake

Ivanka Trump amejiunga rasmi na serikali ya babake ambapo atahudumu kama mfanyakazi asiyelipwa, kwa mujibu wa

Angalia dakika 180 za mkuu wa mkoa Paul Makonda Bungeni

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda jana alihojiwa kwa saa tatu mfululizo na Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge kwa tuhuma za kuingilia haki, uhuru na madaraka ya

Mbunge wa Chadema Peter Lijualikali aachiwa huru

Mahakama Kuu kanda ya Dar ES Salaam imetengua hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya Kilombero dhidi ya Mbunge Peter Lijualikali baada ya kukubaliana na warufani kwamba hati ya mashtaka iliyomtia hatiani ilikuwa na upungufu.

Uamuzi huo umetolewa leo mbele ya

Tundu Lisu aomba kutinga ikulu

Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Tundu Lissu amesema uongozi wa chama hicho umemwandikia Rais John Magufuli kutaka kukutana naye Ikulu ya Dar es Salaam kwa ajili ya kujitambulisha rasmi na

Mbowe asema tutaipinga bajeti

Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe amesema watakwenda bungeni kupinga bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha wa 2017/18 kwa kuwa haitekelezeki.

Amesema mapendekezo ya bajeti hiyo ya Sh31.6 trilioni yaliyowasilishwa juzi na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango hayawezi kutekelezeka kwa sababu hata ya

28 Machi 2017

Hussein Bashe ampongeza Nay wa mitego

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Mbunge huyo wa Nzega ameandika ujumbe huu...

Uwanja wa tevez wateketea kwa moto

Uwanja wa Hongkou wa klabu ya Ligi Kuu China, Shanghai Shenhua iliyomsajili Carlos Tevez kwa mshahara wa Pauni 615,000 kwa wiki Desemba mwaka jana ukiteketea kwa moto baada ya kuungua kuanzia Saa 2:30 asubuhi ya leo.

DCI ataka Polisi iwadhibiti ma-RC

ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Balozi Adadi Rajabu, ametaka makamanda na

Taarifa mpya kuhusu aliyemtishia Nape bastola

Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amesema mtu aliyemtishia kwa bastola aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye si askari wa Jeshi la

23 Machi 2017

London: Watano wafariki shambulio la kigaidi Westminister


Watu watano wamethibitishwa kufariki dunia na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa baada ya mshambuliaji kuvurumisha gari na kuwagonga watu katika daraja la

Kamera za usalama zaanza kuwekwa Barabarani

Mafundi wakiweka Security Camera katika sehemu mbali mbali za Mji wa Unguja,Camera hizo zitaweza kufanikisha kuonekana kwa matukio mbali mbali ya Barabarani ikiwemo ajali pamoja na matukio us Uhalifu.

Maneno ya Nape baada ya taarifa ya kutumbuliwa Uwaziri asubuhi hii

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko madogo kwenye baraza la

21 Machi 2017

Papa Francisko kwa niaba ya Kanisa aomba msamaha kwa mauaji ya kimbari

Baba Mtakatifu Francisko, Jumatatu tarehe 20 Machi 2017 amekutana na kuzungumza na  Rais Paul Kagame wa Rwanda ambaye baadaye amekutana na kuzungumza pia na Kardinali Pietro Parolin, Katibu mkuu wa

Mwanafunzi afariki baada ya kupigwa na Radi wakati akifua nguo

MWANAFUNZI wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Changwe wilayani humu, Chiza Daniel (14), mkazi wa Kijiji cha Changwe Wilaya ya Buhigwe mkoani

Watangazaji Clouds Wavunja ukimya wavunja urafiki na Makonda

Toka sakata la Makonda kuvamia,nimejipa muda kuangalia hii Tv,vipindi na nyimbo wanazopiga ni kama wanafikisha ujumbe kwa mkulu na RC wa Dsm.Wanapiga nyimbo za "vijembe" na leo wameimba wimbo wa "Solidality Forever" huku wameshikana mikono studio.

Hoteli ya Kina Mange Kimambi kupigwa mnada na Serikali


Wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi imetangaza kupiga mnada viwanja ambavyo havijalipiwa kodi ya pango.-Imo hoteli ya Triz Motel inayomilikiwa na familia ya Mange Kimambi.

16 Machi 2017

Mwalimu mbaroni kwa kumwadhibu mwanafunzi

Jeshi la Polisi mkoani Tanga linamshikilia mwalimu wa Shule ya Sekondari Mkwakwani kwa kumpiga na kumsababishia madhara ya kiafya mwanafunzi, Suleyman Mohamed (18).

Yaone madhara ya kujichubua


Katika baadhi ya sehemu duniani watu wanaamini kuwa ngozi angavu huashiria uzuri, utajiri na uwezo(kifedha) alionao mtu.Katika baadhi ya sehemu watu wenye ngozi nyeusi huchukuliwa kuwa wapo chini ya

Fahamu Ufugaji Nyuki

Kwa kawaida makundi ya nyuki katika nchi ya Tanzania na baadhi ya nchi zinazolingana kwa tabia za nchi, makundi ya nyuki huanza kutafuta sehemu salama na yenye chakula kwa wingi kuanzia mwezi wa kumi katika mwaka mpaka mwezi wa

Kebwe apiga marufuku usafirishaji mkaa Moro

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk Stephen Kebwe ameziagiza mamlaka za maliasili za misitu kushirikiana na vyombo vya dola kukamata magari yanayosafirisha mkaa kutoka mkoani huo na

Dk. Harrison Mwambe: Marufuku kufunga ndoa bila cheti cha kuzaliwa

Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe amepiga marufuku watu kufunga ndoa ya aina yeyote,iwe ya serikali, kimila au ya dini bila kuwa na cheti cha kuzaliwa kuanzia Mei Mosi, mwaka huu.

Wanasayansi wagundua kiumbe kingine kinachobadilika rangi kama Kinyong

Unaweza kutoamini lakini inapofikia wakati ikathibitishwa ni lazima kuamini. Tumekuwa tukiamini kwa kusikia na wakati mwingine kwa kuona kwa macho yetu kuwa Kinyonga ndiye kiumbe Pekee anayeweza kubadilisha rangi yake kulingana na

Rungwe amtaka Mwakyembe asiivuruge TLS

Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe amemtaka Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe kuacha kuingilia mambo yanayohusu chama cha

Jaji mwingine azuia marufuku mpya ya Trump kuingia Marekani

Jaji wa Hawaii amezuia marufuku mpya ya kuingia Marekani iliyowekwa na Rais Donald Trump, saa chache kabla ya

Sakata la Wema, Gwajima RC Makonda ajitetea

HATIMAYE Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ametoa ufafanuzi kuhusiana na sababu za

Lowasa na Mbowe wawasha moto

WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe, ni

HALI TETE KWA LADY JAYDEE NA MNIGERIA

Miezi michache tu baada ya mkongwe wa Muziki wa Afro Pop Bongo, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ kumtambulisha ‘baby’ wake mpya, raia wa

22 Februari 2017

Mourinho: Wayne Rooney anaweza kuondoka Manchester United

Meneja wa Manchester United Jose Mourinho amesema bado inawezekana Wayne Rooney aihame klabu hiyo mwezi huu.
Mshambuliaji huyo wa

Wanawake Korea Kusini kuishi miaka mingi zaidi duniani

Wanawake nchini Korea Kusini watakuwa wa kwanza duniani kuwa na umri wa kuishi wa zaidi ya miaka 90, utafiti unaonesha.
Utafiti huo uliofanywa na Chuo cha Imperial cha London na Shirika la Afya Duniani uliangazia umri wa kuishi katika mataifa 35 yaliyostawi kiviwanda.
Utafiti huo unaonesha watu watakuwa wakishi miaka mingi kuliko sasa kufikia mwaka 2030 na pengo kati ya wanaume na wanawake litaanza

Mugabe: Nimefurahishwa na sera za Donald Trump


Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amesema anakubaliana na sera ya Rais wa Marekani Donald Trump kwamba "Marekani iwe ya Wamarekani".
Bw Mugabe, ambaye ndiye mara ya kwanza anazungumzia utawala wa Bw Trump, amesema alishangazwa na ushindi wa kiongozi huyo wa Republican.
Hata hivyo, amesema hakutaka pia "Madam Clinton ashinde",

13 Februari 2017

Donald Trump kuishughulikia Pyongyang

Rais wa Marekani Donald Trump ameizungumzia Korea ya Kaskazini baada ya kitendo chake cha hivi karibuni cha kurusha kombora la kinyuklia lijulikananlo kama fter its latest ballistica na kwamba nchi hiyo ni tatizo kubwa mno.
Trump alitoa matamshi hayo alipokuwa akizungumza na waandishi habari akiwa pamoja na waziri mkuu wa nchi ya Canada, Justin Trudeau katika ikulu ya Marekani, Trump amesema kwamba ataishughulikia na nchi ya akizungumza kwa msisitizo juu ya kauli hiyo.
Baraza la usalama la Umoja wa mataifa ina nia ya kufanya mkutano wa dharula muda mfupi ujao ili pamoja na mambo mengine kujadili juu ya kitendo cha Korea ya Kaskazini.
China imetoa angalizo kuwa kitendo hicho kimeiwekea msuguano wa kikanda na kutoa wito kwa pande zote kujiepusha na hatua yoyote ile ya uchochezi.
Naye msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China Geng Shuang amesema kwamba Beijing ililipinga jaribio hilo, inagawa Pyongyang ilikuwa inaendelea na mipango yake ya uendelezaji silaha kutokana na mvutano ulioko baina ya Washington na Seoul
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728