Dhoruba ya kashfa ya "Panama Papers" inaendelea kufukuta wakati Waziri
Mkuu wa Uingereza David Cameron akikiri kwamba alimiliki hisa zenye
thamani ya pauni 30,000 katika kampuni ya baba yake iliyoko Panama. Je,
Cameron anatakiwa kujiuzulu?
Klabu ya Young Africans itashuka
dimbani kesho Jumamosi kucheza dhidi ya miamba wa Misri Al Ahly hatua ya
16 bora katika Ligi ya Mabingwa barani Afrika (CAF CL).
Pigano la marudio kati ya Tyson Fury
na Wladmir Klitschko litaandaliwa mjini Manchester mnamo mwezi Julai
tarehe 9 kulingana na mkufunzi wa bondia huyo wa Uingereza.
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani
Papa Francis amechapisha mwongozo mpya kuhusu maisha ya familia ambapo
anahimiza kanisa litambue zaidi uhalisia wa maisha ya siku hizi.
Mvulana mmoja raia wa Afghanistan
ambaye alikuwa ndani ya lori aliokolewa na maafisa wa polisi wa
Uingereza baada ya kutuma ujumbe kwamba anakosa hewa.
An injury to Karim Benzema added to a poor night for
the visitors, whose mistakes were seized upon by the home team as
Rodriguez and Arnold did the damage
Real Madrid's hopes of taking the Champions League crown were dealt a blow thanks to exceptional Wolfsburg, who downed the Spanish giants 2-0 to take a commanding lead in the quarter-final tie.
The European heavyweights went toe-to-toe in a
frantic first-leg encounter in the French capital, with Fernandinho
netting an important second to level the scoreline for City
Uchaguzi wa majimbo ya Afrika Kusini utafanyika Agosti tarehe 3 mwaka huu.
Rais
Jacob Zuma alitangaza tarehe hiyo siku moja tu baada ya kuponyoka kura
ya kutokuwa na imani naye bungeni iliyokuwa ikiongozwa na vyama vya
upinzani kufuatia kupatikana na hatia ya ubadhirifu wa mali ya umma na
matumizi mabaya ya mamlaka yake na mahakama ya juu zaidi nchini Afrika
Kusini.
Jeshi la Syria limegundua kaburi
lenye mabaki ya miili kama 40 katika mji wa Palmyra, ambao ulikombolewa
kutoka kwa wapiganaji wa Islamic State, awali juma hili.
Mgombea wa kiti cha urais wa
Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican Donald Trump, hana ufahamu
wowote wa sera za kigeni wala maswala ya ulimwengu!