06 Aprili 2016

Suarez,Vardy na Aubameyang ndio bora Ulaya


Mshambuliaji wa kilabu ya Barcelona Luis Suarez aliyefunga mabao mawili siku ya Jumanne dhidi ya
Atletico Madrid,alikuwa chaguo la wengi kama mshambuliaji bora barani katika ligi hiyo ya Ulaya msimu huu.

Kati ya watu 20,250 walioshiriki ,7,342 walimchagua raia huyo wa Uruguay zaidi ya mara mbili ya aliyechukua nafasi ya pili ,mshambuliaji wa Leicester Jamie Vardy aliyepata kura 2,994.

Mshambuliaji wa Borrusia Dortmund Pierre-Emerick Aubemeyang alichukua nafasi ya tatu akiwa na kura 1989,mbele ya mchezaji bora wa shirikisho la soka duniani mwaka huu Lionel Messi aliyejipatia kura 1779 naye mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane akipata kura 1684.
Utafiti huo umefanywa na BBC.

Matokeo kamili ni kama yalivyoorodheshwa hapa:
  • 1. Luis Suarez (7,342 - 36%)
  • 2. Jamie Vardy (2,994 - 15%)
  • 3. Pierre-Emerick Aubameyang (1,989 - 10%)
  • 4. Lionel Messi (1,779 - 9%)
  • 5. Harry Kane (1,684 - 8%)
  • 6. Cristiano Ronaldo (1,017 - 5%)
  • 7. Zlatan Ibrahimovic (801 - 4%)
  • 8. Robert Lewandowski (766 - 4%)
  • 9. Sergio Aguero (582 - 3%)
  • 10. Gonzalo Higuain (337 - 2%)
  • 11. Other (268 - 1%)
  • 12. Neymar (240 - 1%)
  • 13. Romelu Lukaku (234 - 1%)
  • 14: Gareth Bale (129 - 0.6%)
  • 15: Thomas Muller (88 - 0.4%)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728