17 Machi 2015

PAKISTAN

 
Wakili wa Daktari aliyeisaidia Marekani kumpata kiongozi wa Al Qaeda ,Osama Bin Laden ameuawa mjini Peshawar Pakistan.

Mama wa miaka 100 ahukumiwa jela Kenya

Nchini kenya, bibi mmoja mwenye umri wa miaka 100 amefungwa jela kwa kosa la kukiuka amri ya mahakama kwenye sakata inayohusu ugavi wa ardhi ya jamii.
Ni nadra sana nchini Kenya kwa mtu wenye umri mkubwa kama huo kufungwa jela na huenda hatua hii ikapokelewa kwa mshangao mkubwa na wananchi.
Ngima Gakoromo mwenye umri wa miaka 100 na watoto wake wawili wa kiume kwa sasa wamekamilisha siku 6 katika jela ya Embu kati mwa Kenya.

Mtoto mwenye miaka 3 ana uwezo wa kufanya hesabu za Sekondari na kuongea Kiingereza vizuri


Nilikuwa naperuzi kwenye mitandao maarufu nchini nikakutana na hii habari inayomuelezea huyu Mtoto pichani ambaye ana miaka 3 anaitwa Nice, ana uwezo wa kufanya hesabu za Sekondari kwa uwezo wa kutisha na kuongea kiingereza fasaha kabisa bila kigugumizi. Lakini kichekesho ni kwamba tangu azaliwe hajawahi kwenda shule au kuhudhuria darasa la aina yoyote.

Shambulizi laua 45 Nigeria

Wanawake na watoto wachanga zaidi ya 45 wameuawa katika shambulizi lililotekelezwa katika kijiji kimoja huko Egba katika jimbo la Benue Nigeria
Wanawake na watoto wachanga zaidi ya 45 wameuawa katika shambulizi lililotekelezwa katika kijiji kimoja huko Egba katika jimbo la Benue Nigeria.

16 Machi 2015

AJALI YA BASI

Basi hili mali ya kampuni ya Princess Muro limepata ajali maeneo ya Mbweni. Hadi sasa inaelezwa kuwa ni majeruhi ndio walio wengi na hakuna taarifa za waliopoteza maisha. Limeacha njia na kupinduka mara tatu, kwa mujibu wa taarifa zinazonifikia mida hii.

MABIBO HOSTELI YAWAKA MOTO

Israeli:Chama cha Netanyahu taabani

Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu
Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amewaomba wafuasi wake kuzuia serikali ya mrengo wa kushoto kuingia madarakani katika uchaguzi wa hapo kesho Jumanne.

Rwasa alaumu serikali kwa kutaka kumuua mkewe

Nchini Burundi Agathon Rwasa ambaye ni mwanasiasa mashuhuri nchini humo ,aliekua mkuu wa zamani wa chama kikuu cha upinzani FNL amezilaumu idara za
usalama nchini humo kwa kuhusika na jaribio la kutaka kumuuwa mkewe.

LIVAPOOL VS SWANSEA LINE UP

Swansea vs. Liverpool: Team News, Predicted Line-Ups, Live Stream & TV Info
Clive Brunskill/Getty Images 
Liverpool have enjoyed the rare luxury of a week's rest prior to their trip to south Wales to face Garry Monk's Swansea City on Monday evening.

CHELSEA DRAW1-1

Mark Halsey: Matic lucky not to see red in Chelsea draw - and Mourinho knew it
MATIC LET OFF LIGHTLY

Should Nemanja Matic have been sent off against Southampton? Technically, yes. But the situation should have been avoided.

After Matic tripped Sadio Mane early in the second half, Mike Dean reached for his pocket but thought better of it, realising that the Chelsea midfielder was already on a yellow card.

Waziri Chabane afariki Afrika Kusini

Collins ChabaneWaziri wa watumishi wa serikali wa Afrika Kusini, Collins Chabane, pamoja na walinzi wake wawili wamekufa kwenye ajali ya gari.
Gari lao liligongana na lori katika mji wa Polokwane, kaskazini-mashariki mwa nchi.
Bwana Chabane alikuwa mjumbe wa kamati kuu ya chama tawala cha ANC na mshirika mkubwa wa Rais Jacob Zuma.
Aliongoza matayarisho ya mazishi ya Nelson Mandela.
Rais Zuma amesema ameshtushwa na kuskitishwa sana na kifo cha rafiki yake ambacho alisema kimeacha pengo kubwa serikalini.

MAN UNITED YAUA SPARS 3-0

Manchester United 3-0 Tottenham: Rooney,Fellaini and Carrick score to tarnish Tottenham Hotspurs Champions League hopes.
Can United overtake ,Manchester City and Arsenal to finish 2nd?

Uingereza yatengeneza basi la kwanza linalotumia kinyesi

Britain’s first “poo bus”, which runs on human and household waste, goes into regular service this month.

Adventist Church Opens First Wellness Center in Crisis-Hit Venezuela

The Seventh-day Adventist Church has opened its first wellness center in Venezuela, offering 60 patient beds, massage rooms, and a swimming pool for water treatments on a forest-covered mountain.
The facility, Centro Integral Adventista de Vida Sana, will provide natural remedies and preventative medicine to the surrounding community of more than 55,000 people and, church leaders said, serve as a testament to the power of God to provide construction materials at a time of economic crisis.

TECHNOLOJIA

Maonesho  makubwa kabisa duniani ya teknolojia ya habari na mawasiliano CeBIT yaanza rasmi leo mjini Hannover, Ujerumani huku kukiwa na ushiriki mdogo wa wataalamu wa Afrika. Una maoni gani kuhusu maonesho haya.

MIZANI VIGWAZA YAHARIBIKA

Mzani wa Vigwaza ambao umezinduliwa mwezi mmoja uliopita na Makamu wa Rais ukiligharimu Taifa Bilioni 11 umeharibika.

Hapa na Pale: JB Atoboa Kuhusu Filamu Yake ya Singnature Ilivyopigwa Chini na Steps

Hapa na Pale: JB Atoboa Kuhusu Filamu Yake ya Singnature Ilivyopigwa Chini na Steps“Leo nimejisikia kuongelea filamu zangu za zamani.samahani kwa picha ya cover lakini hembu tukumbuke, hapa niliwakutanisha Aunt,Wolper,Odama na Cloud112 kwenye filam hii na nyingine ya 14 days nilizitengeneza muda mrefu  sana 2009 lakini nikazipeleka sokoni kwa pamoja, Steps wakasema watachukua 14days tu, hivyo hii signature nikamuuzia Kapico baada ya mwaka 1 aliomba kuinunua tena toka Kapico kwa bei kubwa zaidi.inaitwa signature”. JB amebandika mtandaoni andiko hili.

Papa Francis atoa ishara za kujiuzulu

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis amedokeza kwamba huenda akafuata nyayo za mtangulizi wake Papa Benedict kwa kujiuzulu.
Akihojiwa na runinga moja ya nchini Mexico katika sherehe za maadhamisho yake ya pili tangu achaguliwe,Papa Francis amesema kuwa anahisi kwamba uongozi wake katika kanisa hilo hautaendelea kwa kipindi kirefu.
Amesema kuwa hatua ya Benedict kujiuzulu mwaka 2013 ni ya ujasiri na haifai kuchukuliwa kama ya kipekee.
Papa Benedict ndiye kiongozi wa kwanza wa kanisa hilo kujiuzulu tangu papa Gregory wa 12 mwaka 1415.
Papa Francis anasema kuwa anatamani maisha yake ya kuwa muhubiri na angependelea kuzuru maeneo kadhaa bila kujulikana.

09 Machi 2015

ARSENAL YAIPASUA MAN UNITED 2-1

Nacho Monreal
Timu ya Arsenal usiku wa kuamkia leo imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la FA baada ya kuwalaza mahasimu wao Manchester United kwa jumla ya mabao 2 -1.

Kim Jong-Un apeleka poda jeshini

Kiongozi Kim
Kiongozi wa kidikteta wa Korea Kusini Kim Jong-Un amejaribu kuonesha namna anavyojali masuala ya kijinsia kwa kuwapelekea askari wa kike poda za kujipodolea ,katika kambia ya kijeshi ya ndege za mashambulizi ya anga aliyoitembelea wakati dunia ikiadhimisha kilele cha siku ya wanawake duniani.

NKURUNZIZA RAISI WA BURUNDI



Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza anakabiliwa na shinikizo la kisiasa baada ya jeshi la nchi hiyo kubaini msimamo wake wa kuulinda usalama wa wananchi ikiwa watateremka barabarani kuandamana. Hii ni wakati kanisa katoliki na uwakilishi wa Umoja wa ulaya na ule wa Marekani ukibaini ya kuwa mkataba wa Arusha haumruhusu rais Nkurunziza kugombea muhula mwingine.

07 Machi 2015

WAISLAMU WANAMGEUKIA YESU NA KUMKUBALI KAMA BWANA NA MWOKOZI

Bofya hapa

RYAN GICS AFUNGUKA WAZIWAZI

Rayan Giggs na mkufunzi Louis van Gaal
Naibu mkufunzi katika timu ya Manchester United Ryan Giggs amepinga madai ya mkwaruzano kati yake na mkufunzi wa kilabu hiyo Louis Van Gaal.
Uvumi wa wasiwasi kati ya makocha hao wawili ulizuka baada ya Giggs kukataa kusherehekea bao la ushindi la Ashley Young siku ya jumatano.
Aliyekuwa mchezaji mwenza katika kilabu hiyo Paul Scholes alisema kwamba Giggs amechoka kuwa mkufunzi chini Ya Louis Van Gaal kwa miaka mitatu ijayo.
Lakini Giggs amesema kuwa wawili hao wana ushirikiano mzuri kati yao na kwamba anafurahia kazi yake chini ya mkufunzi Van Gaal.

PRAISE LORD

To follow God's law is an act of faith. For I am not ashamed of the gospel of Christ: for it is the power of God unto salvation to every one that believeth; to the Jew first, and also to the Greek. For therein is the righteousness of God revealed from faith to faith: as it is written, The just shall live by faith (Rom. 1:16-17).
What troubles and problems have you been spared because you have made a commitment by faith to keep God’s law? How different would your life be were you not keeping it?
Sunday: Keep the Law Posted on March 7, 2015 by Sabbath School Lesson Keep the Law Out of 13 occurrences of the word Torah — law or teaching — in the book of Proverbs, four are in Proverbs 28 (Prov....


Wadaiwa kushirikiana na Al-Shabaab

wanajeshi wa ngazi za juu nchini Somalia wanachunguzwa kwa kushirikiana na kundi la wapiganaji wa Alshabaab
Mamlaka nchini Somalia imewakamata wanajeshi wake wa ngazi za juu na kuwatuhumu kwa kushirikiana na wapiganaji wa kundi la Al-shabaab.

03 Machi 2015

Maneno ya MPOKI Kuhusu Msiba wa Kapteni John KOMBA

Maneno ya MPOKI Kuhusu Msiba wa Kapteni John KOMBA
     
    Mwigizaji wa vichekesho wa Kundi la Orijino Komedi, Mujuni Sylivery aka Mpoki moja ya vitu ambavyo aliwahi kuvifanya katika kazi yake ya uchekeshaji ni pamoja na kuigiza sauti ya marehemu, Kapteni John KOMBA ambaye amefariki February 28.

    Mauaji ya Albino ni aibu kwa Tanzania

    RaisI wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete
    Raisi wa Tanzania Jakaya Kikwete ameahidi kumaliza kabisa wimbi la mauaji ya Albino,na kusema kuwa waganga wa jadi wanahusishwa na mauaji hayo na kulitia aibu kubwa taifa lake lililoko Africa Mashariki.

    ONA MAAJABU HAPA


    Kijana Dede Koswara(36) alizaliwa akiwa na muonekano mzuri kama binadamu wa kawaida tu.

    Lakini kadri siku zinavyosogea na kuendelea kukua, miguu yake na mikono ilianza kubadilika na kuwa na maumbo kama ya mti.

    Hawezi tena kutembea umbali mrefu kutokana na uzito wa mikono na miguu yake.

    Madaktari wanasema hali hiyo ilianza kutokea wakati akiwa bado mdogo pale alipojikata kwenye ngozi yake.

    Dede Koswara ana upungufu wa chembe hai nyeupe za damu( White Blood cells), ambazo huzuia maambukizi na hutumika kama kinga ya mwili dhidi ya maradhi.

    Virusi vilishambulia ngozi yake na kufanya izalishe idadi kubwa ya 'Kretin' ambayo ni Protini inayopatikana kwenye nywele na kucha.
    Tazama zaidi hapa

    01 Machi 2015

    Yanga yasonga mbele michuano ya Afrika

    Timu ya Young Africans maarufu kama Yanga ndiyo timu pekee ya Tanzania iliyobakia katika michuano ya Shirikisho la Kandanda barani Afrika, CAF kwa mwaka 2015.

    Serikali na waasi kuafikiana Mali

    Mali
    Serikali ya Mali na makundi sita ya wanamgambo wanatarajiwa kutia sahihi makubaliano ya amani yenye nia ya kuleta utulivu nchini humo.

    Mamia ya watoto watekwa Sudan Kusini

    Umoja wa Mataifa umesema kuna uwezekano mkubwa kwamba watoto wa kiume waliotekwa hivi karibuni huko Sudan Kusini walichukuliwa na kundi lililo upande wa serikali.

    KAMWE UPENDO WA MWANADAMU HAUWEZI KUUFIKIA UPENDO WA MUNGU


    Marehemu Keptain John Komba enzi za uhai wake

    Mbunge na Mwimbaji maaarufu wa nyimbo za Siasa nchini Tanzania, Keptain John Komba amefariki dunia siku ya jumamosi jioni.

    MAJOGOO WA JIJI WAWIKA NA MAN CITY YAZIDI KUTAGA

    The church of God grow very fast 30 Togo Inmates Baptized at New Prison Chapel



    Thirty inmates were baptized at a Togo prison chapel built by the Seventh-day Adventist Church after prison officials asked for help replacing a previous chapel that collapsed in bad weather.
    The inmates took their stand for Jesus during a special dedication ceremony at the main prison in Lomé, the bustling capital of the sub-Saharan African country, church leaders said Friday.

    The chapel, which contains an outdoor baptistery, benches for 100 people, and electricity to run lights, fans, and a sound system, was financed with a $6,000 donation from the General Conference, the administrative body of the Adventist Church.
    General Conference president Ted N.C. Wilson approved the expenditure from a special presidential discretionary fund after being contacted by the Togo prison.
    “Thirty souls sealed their covenant with the Lord through baptism in the new baptistery built with your donation,” Sélom Kwasi Sessou, executive secretary of the Adventist Church’s Togo-based Eastern Sahel Union Mission, wrote in a letter to Wilson.
    The baptisms, conducted last Sabbath, Feb. 21, were the result of an evangelistic series led by Bruno Amah, an Adventist member jailed in the prison, together with the Togo church’s Chaplaincy Ministries department, said Sessou, who headed a church delegation at the dedication ceremony.
    In addition, 120 inmates took part in a communion service during the ceremony.
    The prison director thanked Sessou and the Adventist Church for the funds for the chapel, and he promised to pray for God’s blessings on the church.
    “He promised that the room will be multifunctional and be put to good use,” Sessou said. “He said they will ask the Almighty God to continue to keep a benevolent eye on the Adventist Church and that He opens more doors for possible blessings.”
    A plaque on the front of the chapel bears the Adventist Church logo and recognizes the role of the church and Wilson in the construction of the building.
    Wilson expressed gratitude to God for the 30 baptisms and to asked that church members around the world remember Bruno Amah and all Adventist prisoners in prayer.
    “Praise God for His leading in this prison outreach,” Wilson said.

    Sabbath at Togo's New Prison Chapel

    • Church and prison leaders cutting the ribbon at the dedication of the new chapel at the main prison in Lomé.

    • Inmates worshiping in the new chapel during its dedication on Sabbath, Feb. 21.
    • The chapel has wooden benches that seat 100 people.
    • A female inmate accepting Jesus at the chapel.
    • The 30 inmates who were baptized had attended an evangelistic series led by a fellow inmate, an Adventist.
    • Inmates washing each other's feet during the Communion service.
    1. 1
    2. 2
    3. 3
    4. 4
    5. 5

    CAPITAL ONE

    Cup final match report: Chelsea 2 Tottenham 0

    John Terry’s first cup final goal for Chelsea and a Diego Costastrike deflected into the net won the London derby showpiece at Wembley.
    The deadlock in what had been a tight encounter with defences on top was broken shortly before half-time when the skipper finished off a set-piece. From then on there only looked likely to be one winner an indeed Jose Mourinho’s men doubled our lead inside the hour when Diego Costa’s drive from out wide took a touch off Kyle Walker on its way in.
    Eden Hazard and Cesc Fabregas then went close but two goals proved to be enough to win the fifth League Cup in Chelsea history, not least due to a collection of fine pieces of defending in the second half which kept the clean sheet intact and Spurs at bay.

    SMART WATCH KUINGIA


    Kampuni ya saa za Smartwatch,Peeble imechangisha zaidi ya dola millioni 10 kwa ajili ya programu yake mpya ya wakati katika mtandao unaofadhiliwa na makundi ya watu Kickstarter.Mradi huo wa kampuni ya Peebles ni miongoni mwa miradi inayoungwa mkono na wengi.Saa hiyo mpya itavaliwa na wawekezaji mwishoni mwa mwezi mei kabla ya kuuzwa kwa uma baadaye mwaka huu.

    MBOWE

     wa CHADEMA . Freeman Mbowe  na ndg. Lwakatare kukagua 'Jeshi' la chama hicho maarufu kama RED BRIGADE huko Mwanza!
    KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
    KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

    TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

    POSITION DESRIPTION;

    Agricultural Technician

    Qualifications

    Diploma in agriculture

    Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

    apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728