09 Machi 2015
NKURUNZIZA RAISI WA BURUNDI
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza anakabiliwa na shinikizo la kisiasa baada ya jeshi la nchi hiyo kubaini msimamo wake wa kuulinda usalama wa wananchi ikiwa watateremka barabarani kuandamana. Hii ni wakati kanisa katoliki na uwakilishi wa Umoja wa ulaya na ule wa Marekani ukibaini ya kuwa mkataba wa Arusha haumruhusu rais Nkurunziza kugombea muhula mwingine.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni