16 Machi 2015
AJALI YA BASI
Basi hili mali ya kampuni ya Princess Muro limepata ajali maeneo ya Mbweni. Hadi sasa inaelezwa kuwa ni majeruhi ndio walio wengi na hakuna taarifa za waliopoteza maisha. Limeacha njia na kupinduka mara tatu, kwa mujibu wa taarifa zinazonifikia mida hii.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni