03 Machi 2015
ONA MAAJABU HAPA
Kijana Dede Koswara(36) alizaliwa akiwa na muonekano mzuri kama binadamu wa kawaida tu.
Lakini kadri siku zinavyosogea na kuendelea kukua, miguu yake na mikono ilianza kubadilika na kuwa na maumbo kama ya mti.
Hawezi tena kutembea umbali mrefu kutokana na uzito wa mikono na miguu yake.
Madaktari wanasema hali hiyo ilianza kutokea wakati akiwa bado mdogo pale alipojikata kwenye ngozi yake.
Dede Koswara ana upungufu wa chembe hai nyeupe za damu( White Blood cells), ambazo huzuia maambukizi na hutumika kama kinga ya mwili dhidi ya maradhi.
Virusi vilishambulia ngozi yake na kufanya izalishe idadi kubwa ya 'Kretin' ambayo ni Protini inayopatikana kwenye nywele na kucha.
Tazama zaidi hapa
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni