21 Machi 2015

Drake amwendea kinyume Lil Wayne

Msanii wa muziki wa rap nchini Marekani Lil Wayne alikuwa tayari kumshambulia msanii mwenza na rafikiye Drake kwa kumuendea kinyume na mpenzi wake,kulingana na taarifa ya kitabu anachoandika.
Jarida la TMZ nchini Marekani,lilipata taarifa ya mapendekezo ya kitabu hicho ambayo yametumwa katika wachapishaji kadhaa.

Wayne anadai kwamba wakati alipokuwa akihudumia kifungo chake jela katika kisiwa cha Rakers kwa kumiliki bunduki bila kibali.
Inadaiwa kuwa Drake alimtembelea akiwa jela na kukiri mbele yake kwamba ali lala na mpenziwe.
Lil Wayne alisema :Hiki ni kitendo ambacho mwanamume ambaye yuko jela hapendi kusikia kwa sababu ni mungu anayejua ni nini ningelifanya iwapo ningekuwa nje.
Wayne alikiri katika mapendekezo hayo kwamba yeye na mpenziwe walikuwa wakigombana sana ndiposa Drake akamwambia kwamba alilala naye.
Hatahivyo Wayne anasema kuwa mwanamke huyo alimwambia kwamba alifanya mapenzi na Drake siku moja kabla ya kukutana na Wayne.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728