18 Oktoba 2014
Ni sabato ya pekee iliyofanyika katika viwanja vya manzese, katika mkutano wa injili unaoendelea kurindima hii ikiwa ni wiki ya pili na bado unaendelea usipitwe karibia kwaajili ya kujifunza mambo mengi ya ukuu wa Mungu,na hizi ni baadhi ya kwaya zilizo alikwa kuhudumu katika mkutano huu zikiwemo kwaya ya manzse kwa jina la angaza,salasala,kwaya ya externa kwa jina ufunuo na nyingine nyiiiiiiingi njoo ujionee
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni