man united
Ripoti ya Kamati ya bunge ya Hesabu za Serikali imewataja baadhi ya vigogo wanaohusika na kashfa ya IPTL Nchini Tanzania akiwemo Waziri Mkuu na kuwataka kuwajibika kisiasa na kisheria.
Sunderland became the first team this season to stop Chelsea from scoring and earned a valuable point on Saturday Night Football.
Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema kuwa fedha zote zilizopotea kutokana na ukwepaji wa kodi zaidi ya Sh26 bilioni kwenye sakata la escrow zitarudishwa na waliohusika watachukuliwa hatua.
Dar es Salaam. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imesisitiza kuwa fedha zilizochukuliwa kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow Sh306 bilioni ni za umma na waliohusika katika sakata hilo wachukuliwe hatua kali na za kinidhamu.
Dar/Dodoma. Kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana usiku kilivunjika baada ya vurugu kutawala ukumbini humo.
SOMA MAJINA YA WALIOKULA FEDHA ZA AKAUNTI YA ESCROW KATIKA RIPOTI YA PAC ILIYOSOMWA BUNGENI.
Dodoma/Dar. Pamoja na maneno mengi yaliyosemwa, shutuma lukuki zilizotolewa na mbinu za kila aina kutaka kuzuia mjadala wa ripoti ya uchunguzi wa kashfa ya IPTL, leo ndiyo siku yake ya hukumu.
Ripoti ya Kamati ya bunge ya Hesabu za Serikali imewataja baadhi ya vigogo wanaohusika na kashfa ya IPTL Nchini Tanzania akiwemo Waziri Mkuu na kuwataka kuwajibika kisiasa na kisheria.
Dar/Dodoma. Moto wa kashfa ya ufisadi katika akaunti ya Tegeta Escrow unaoendelea kuwaka bungeni, sasa unaonekana kugeuka gharika inayoweza kuwakumba vigogo wengi zaidi na kuiweka Serikali ya Rais Jakaya Kikwete katika hali ngumu.
Dodoma/Dar. Siku moja kabla ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuwasilisha bungeni, ripoti ya uchunguzi wa IPTL kuhusu ufisadi katika akaunti ya Escrow, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Zitto Kabwe amesema amekuwa akipata vitisho ili kuzuia ripoti hiyo.
Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova amesema ulinzi utaimarishwa kabla, wakati na baada ya mdahalo maalumu wa Katiba ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam mzungumzaji mkuu akiwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba.
Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kurejea nchini Jumamosi, Novemba 29 baada ya taratibu za matibabu yake nchini Marekani kukamilika.
Dar es Salaam. Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Nimrod Mkono ambaye hivi karibuni alinusurika kifo akidaiwa kulishwa sumu akiwa London, Uingereza amesimulia jinsi tukio hilo lilivyomkuta.
Mlipuko wa ugonjwa wa tauni nchini Madagascar umewaua watu 40 na kuwaathiri takriban wengine 80 ,shirika la afya duniani WHO limesema.
Hali sasa ni dhahiri si shwari tena mjini Dodoma.Pilikapilika za magari ya vigogo pamoja na ndege ndivyo vinavyotawala kwa sasa katika mabarabara na uwanja wa ndege!
Dodoma. Wakati kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ikianza kupitia ripoti ya IPTL kuhusu uchunguzi wa ufisadi katika Akaunti ya Tegeta Escrow, wabunge wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umedai kwamba kuna mikakati imeandaliwa kuzima ripoti hiyo kusomwa na kujadiliwa bungeni.
Mwanza. Shughuli za wakazi na wafanyabiashara wa Soko Kuu na Mtaa wa Makoroboi jijini Mwanza jana zilisimama kwa zaidi ya saa nne baada ya kuibuka vurugu kati ya Wamachinga na polisi na kusababisha maduka katika maeneo hayo kufungwa.
Arusha. Nchi za Kenya na India zimeipita kwa mbali Tanzania kwa kusafirisha na kuuza katika soko la dunia, madini ya tanzanite ambayo yanapatikana hapa nchini pekee.
Kagera. Wagonjwa waliolazwa na kupata matibabu katika kituo cha Afya Lukole wilayani Ngara mkoani Kagera, juzi wamejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kupata kipigo kutoka kwa mganga wa kituo hicho ambaye aliwataka kushiriki zoezi la usafi katika vyumba na mazingira ya kituo hicho.
Geita. Mtoto mchanga mwenye umri wa miezi minne amezua kizaazaa cha aina yake, baada ya kuwapo taarifa kwamba mara kadhaa umbo lake limekuwa likigeuka na kuwa nyoka na mwili wake ukiendelea kudhoofu kutokana na kukataa kunyonya maziwa ya mama yake.
Mwenyekiti wa PAC Zito Kabwe. Dodoma. Ripoti ya sakata la uchotaji wa Dola za Marekani 200 milioni katika akaunti ya Tegeta Escrow iliyotua bungeni wiki iliyopita, imeibua mambo mazito baada ya Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kugundua kuwa fedha zilizochotwa kwenye akaunti hiyo zilikuwa mali ya Tanesco.
Jaji Warioba ni shujaa hana sababu yoyote ya kuona aibu. Asikate tamaa bali tukio kama hili ndio liwe kichocheo kwake, kuweka juhudi zaidi katika kuwaelimisha wananchi waielewe vizuri katiba inayopendekezwa, ili iwarahisishie kufanya uamuzi sahihi wakati wa kuipigia kura.
. Mtoto Nuru Mohamedi (7) ameuawa kikatili na kisha mwili wake kutelekezwa kwenye nyumba ambayo haijakamilika ujenzi iliyo Majohe Kichangani mjini hapa.
Kocha wa zamani wa timu ya Manchester United David Moyes ametajwa kuwa meneja mpya wa timu ya kutoka Hispania,Real Sociedad.
Dar es Salaam. Serikali inapitia upya ulinzi wa viongozi wastaafu ili kuepuka fedheha iliyotokana na vurugu alizofanyiwa Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba hivi karibuni.
Dar es Salaam. Rais, Jakaya Kikwete amefanyiwa upasuaji wa tezi dume (prostate) katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko Baltimore, Jimbo la Maryland, Marekani.
Urambo. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amefanya mkutano mkubwa Urambo Mashariki na kumshutumu Mbunge wa jimbo hilo, Samuel Sitta kwa kuchakachua maoni ya wananchi katika mchakato wa Katiba Mpya.
Getty
Chelsea boss hails Belgium despite penalty miss
The $122 million (Sh201 billion), which was at the escrow account held at Bank of Tanzania (BoT), was transferred to Pan Africa Power Solutions (Tanzania) Ltd (PAP) account between November 28 and December 8, last year, The Citizen can reveal today.
Dar es Salaam. Waziri Mkuu wa zamani, Jaji Joseph Sinde Warioba jana alivamiwa na kikundi cha watu wachache waliohudhuria mdahalo wa Katiba wakati akihoji vitendo vya baadhi ya watu kutumia vibaya jina la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere.
Ugonjwa wa homa ya Lassa Afrika Magharibi unaelezwa kusahaulika kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola na Wahudumu wa afya wamesema huenda wakakosa rasilimali kukabiliana na ugonjwa huo iwapo utakithiri.Awali dalili za homa hii zilionekana kama za ugonjwa wa ebola.kuvuja damu, kutapika na joto kali la mwili.lakini kwa kuwa ebola ni ugonjwa mpya, homa ya Lassa nayo bado ipo, ambayo inaelezwa kuwa kila mwaka watu 300,000 mpaka 500,000 huathiriwa na homa hii na watu mpaka 20,000 hupoteza maisha.
Champions Manchester City continued their recent derby dominance with a 1-0 Premier League win over 10-man Manchester United on Sunday.