06 Novemba 2014
AJALI MBEYA
Ajali nyingine imetokea huko mbeya maeneo ya maeneo ya mbalali gari la abiria kwa jina happy nation lenye namba 481 ARR linalotoka mbeya kuja dar baada ya basi hilo kupasuka tairi la mbele upande wa kulia na kusababisha basi hilo kuacha njia na kumgoga mwendesha baiskeli na kisha kupinduka 37wameripotiwa kujeruhiwa na takribani watu 4 wahusishwa kuwa wameruhiwa vibaya sana na wanendelea kupata matibabu. Tutaendelea kuawajulisha kila kinachoendelea
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni