Kiongozi wa zamani wa Waserbia wa Bosnia, Radovan Karadzic, amehukumiwa
kifungo cha miaka 40 gerezani, baada ya Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya
Uhalifu wa Kivita-ICTY, kumkuta na hatia ya uhalifu dhidi ya ubinaadamu.
Akisoma hukumu hiyo, Jaji kiongozi katika kesi hiyo, inayosikilizwa
kwenye mahakama hiyo ya ICTY 25 Machi 2016
Karadzic ahukumiwa miaka 40 jela
Mwanajeshi wa Israel anashikiliwa kwa kumpiga risasi Mpalestina
Jeshi la Israel linamshikilia mwanajeshi wa nchi hiyo, baada ya picha za
video kumuonyesha akimpiga risasi Mpalestina aliyekuwa amelala chini
baada ya kusalimu amri.
Kwa mujibu wa jeshi la Israel, tukio hilo limetokea kwenye mji wa
Hebron, katika Ukingo wa Magharibi, Hakuna dalili ya kupatikana suluhu ya kudumu Syria
Wakati mazungumzo ya amani ya Syria yakiakhirishwa baada ya kufanyika
kwa siku 10, bado hakuna dalili yoyote ya kupatikana suluhu ya kudumu
katika mzozo huo.
Watu 7 wakamatwa Brussels, Paris kwa ugaidi
Msako unaendelea barani Ulaya baada ya mashambulizi ya kigaidi ya
Brussels, huku lawama zikiongezeka dhidi ya vyombo vya usalama kushindwa
kuyazuwia mashambulizi hayo yaliyouwa watu zaidi ya 30.
24 Machi 2016
Waisraeli huenda wanasaidia FBI kufungua simu
Kampuni moja inayohusika katika
masuala ya ya usalama mtandaoni kutoka Israel inakabilwia na shinikizo
la kuitaka ieleze iwapo inasaidia idara ya uchunguzi wa jinai ya
Marekani kufungua simu ya iPhone.
Idara ya FBI ilisema Jumatatu
kwamba huenda imefanikiwa kupata njia ya kufungua simu ya muuaji Syed
Rizwan Farook aliyewapiga risasi watu katika eneo la San Bernardino,
California, mwezi Desemba.Gazeti moja nchini Israel limeripoti kuwa wataaamu kutoka kwa kampuni hiyo ya Cellebrite wanahusika katika kesi hiyo.
Attackers Spray-Paint ‘666’ on Adventist Church in Florida
Unknown vandals spray-painted inverted
crosses and the numbers “666” on a Seventh-day Adventist church in the
U.S. state of Florida in an overnight attack that surprised its pastor.
The symbols and other graffiti, some of it obscene, were scrawled on the concrete sign, fellowship hall, and pump house of the Jupiter Seventh-day Adventist Church near Palm Beach, pastor Richard Moseley said Wednesday.

four human characteristics
Every human being has a different nature. When he was in a new
community, not a few individuals who have difficulty to adapt because he
confronted by the diversity of these properties. But do you know that
from dozens of human nature, there are actually only 4 basic character
of human beings.
Then if all these characters, and how the characteristics.....?
This is 4 Basic of Human Characteristic, based on a psychology book (Personality Traits) which I read several years ago.
Basic first human character is the sanguine.
Someone who has high confidence, and easily adapt to other people can be said as a sanguinis. Usually someone who has sanguinis character, likes to gather with other such as have party and make lively situation. The appropriate job for sanguinis is marketing or public relation
After sanguine, second characteristic is melancholy.
As we know the word melancholy likely associated with the "graceful", then so does the melancholic person. Melancholy is often interpreted as the opposite character sanguinis. Someone who is melancholy tend to prefer solitude and became Sensitive. In this case sensitive is referred is to have a high enough sensitivity to a condition. It is not surprising that a melancholic woman could tear while seeing the movie drama. Whereas in the physical aspect, the oval-faced man could be classified into this category. Furthermore, the appropriate job of melancholy is a doctor or a psychologist.
Third Type of human character, is phlegmatic.
If you always show calmly and peace you could be categorized as individuals who have plegmatis. A plegmatis usually do not like conflict and tend to shy away from conflict. Besides that he also tend to be less expressive. And physically they usually have a round face.
The last characteristic is Koleris,
A leader is usually tend to have the basic character koleris. You remember with Margaret Teacher Not. A woman Prime Minister of Egypt, known for his leadership success. As a prime minister, Mrs. Teacher Margaret could be categorized as a Koleris.
A Koleris is known to have talent as a leader because of firmness in determining that there was something about him. But unfortunately the other side Koleris people have a weakness that is likely to make comment. The most people for this character usually has has a square face / jaw bones strong.
Although fundamentally human character can be divided into 4, but the psychology of the individual may not only consist of 1 character. For further review actually, every individual consists of more than one character. You would never find someone with one character. Usually there are more than 2 character in person. You must also often not heard the word "emotional". People who are emotionally in psychology tend to have 2 basic character of the opposite melancholic and sanguinis.
The person is usually able to easily demonstrate changes something on his faces. He could cry when facing sad condition on the other hand they will give nice laugh in funny situation. In addition, emotional person will looks more aggressive.
Whatever type of character of human nature, either melancholy, sanguinis, plegmatis, or the melancholy. Of course it has its own weaknesses and strengths. Most importantly perhaps it would be better if we can have a mature understanding of it in everyday social intercourse.
Then approximately, what it contained the basic character within each of us...? For a more objective answer would not hurt you to ask your friends or your closest family.
click here to test your character

20 Machi 2016
Msichana anayevuja damu machoni
Huyu ni Marnie-Rae Harvey ambaye hutokwa na damu machoni lakini madaktari hawaelewi chanzo chake ni nini.
Msichana huyo mwenye umri wa miaka 17 anasema kuwa hawezi kutoka nje na hana marafiki kwa sababu kila mara huwa nyumbani kwao.Amewatembelea wataalam wa macho na madaktari wa maswala ya uzazi,madaktari wa watoto na wataalam wengine kujua sababu ya tatizo hilo.
Utata kuhusu mwandishi wa DW Zanzibar
Siku mbili zimepita tangu kutoweka
kwa mwakilishi wa kituo cha redio cha Sauti ya Ujerumani (Deutsche
Welle) Salma Said visiwani Zanzibar na hadi sasa hajulikani alipo.
Taasisi
za kiraia, mashirika mbalimbali ya kutetea haki za binadamu na jumuiya
ya waandishi wa habari nchini Tanzania wamelaani kutekwa nyara kwa
mwandishi huyo.Mashirika mengine yameitaka serikali kuhakikisha kwamba Salma Said, mwenye umri wa miaka 45, anapatikana akiwa salama.
CCM yamteua msemaji mpya Tanzania
Uteuzi wake umetangazwa na katibu mkuu Abdulrahman Kinana.
Msemaji wa awali wa chama hicho alikuwa Nape Mosese Nnauye ambaye aliteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo.
Msemaji wa awali wa chama hicho alikuwa Nape Mosese Nnauye ambaye aliteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo.
Moja kwa Moja: Uchaguzi wa marudio Zanzibar
14:00 Wawafahamu wagombea wote wa urais walio kwenye karatasi za kura visiwani Zanzibar? Kuna wagombea 14. Majina yao ndiyo haya:
1 | Khamis Iddi Lila | ACT-W |
2 | Juma Ali Khatib | ADA-TADEA |
3 | Hamad Rashid Mohamed | ADC |
4 | Said Soud Said | AFP |
5 | Ali Khatib Ali | CCK |
6 | Ali Mohamed Shein | CCM |
7 | Mohammed Massoud Rashid | CHAUMMA |
8 | Seif Sharif Hamad | CUF |
9 | Taibu Mussa Juma | DM |
10 | Abdalla Kombo Khamis | DP |
11 | Kassim Bakar Aly | JAHAZI |
12 | Seif Ali Iddi | NRA |
13 | Issa Mohammed Zonga | SAU |
14 | Hafidh Hassan Suleiman | TLP |
Vikosi vya Kenya na al-Shabab vyapigana
Kumekuwa na mapigano kati ya wanajeshi wa kenya na wanamgambo wa al-Shabaab katika eneo la Lower Juba nchini Somalia.
Kuna ripoti za kukanganya kuhusu maafa.Wanajeshi wa Kenya wanasema kuwa walivisiwa lakini wakafanikiwa kuwaua wanamgabo 21 licha ya wao kupoteza wanajeshi wawili.
Al-Shabab nao wanadai kuwa waliwaua wanajeshi 20 wa Kenya wakawakamata wawili na kuharibu magari yao sita.
Kwa jumla kuna chaguzi 5 barani Afrika
Uchaguzi unafanyika katika nchi tano za Afrika huku Senegal ikiandaa kura ya maoni kupunguza muhula wa rais.
Kituo cha Madungu Chake-Chake, Pemba wapiga kura hawajafika
Kituo cha Madungu Chake-Chake, Pemba wapiga kura hawajafika. Ni maafisa tu wa tume na maafisa wa usalama walio kituon
Nini maoni yako
Nini maoni yako
07 Machi 2016
Magufuli amteua katibu mkuu mpya
Mhandisi John William Kijazi ameteuliwa kuwa katibu mkuu kiongozi nchini Tanzania.
Ubishi wa Messi na Ronaldo wasababisha mauti
Polisi nchini India wamemfungulia
mashtaka ya mauaji mtu mmoja aliyemdunga kisu rafikiye
Tanzania yasubiri ripoti ya unyanyasaji UN
Tanzania imesema inasubiri ripoti
ambayo imewataja wanajeshi wa Tanzania kuwa miongoni mwa wanajeshi wa
kulinda amani wa Umoja wa Mataifa wanaotuhumiwa kuhusika katika visa vya
unyanyasaji wa kingono.
Jeshi la Tanzania linakabiliwa na tuhuma
tatu za unyanyasaji wa kingono kati ya tuhuma 69 zilizoorodheshwa kwenye
ripoti hiyo inayoangazia tuhuma zilizotolewa mwaka 2015.Visa hivyo viliongezeka kutoka kwa visa 52 mwaka 2014 na 66 mwaka uliotangulia.
Korea Kaskazini yatishia kuishambulia Marekani
Korea Kaskazini imetishia kutekeleza
mashambulio ya nyuklia dhidi ya Korea Kusini na Marekani iwapo nchi
hizo mbili zitaendelea na mazoezi ya pamoja ya kijeshi.
Mazoezi hayo, ambayo hufanyika kila mwaka, mwaka huu yatashirikisha wanajeshi 300,000.Serikali ya Korea Kaskazini imetoa taarifa ya ikitishia kutekeleza “shambulio la nyuklia kwa ajili ya haki”.
Kasisi mweusi ajiuzulu Ujerumani
Kasisi mkatoliki mzaliwa wa Jamhuri
ya Kidemokrasia ya Kati DRC amelazimika kujiuzulu kazi yake nchini
Ujerumani baada ya kutishiwa maisha.
Kasisi Olivier
Ndjimbi-Tshiende, 66, aliwaambia waumini katika misa ya jumapili katika
mji wa Zorneding, iliyoko Munich katika jimbo la Bavaria kuwa amepokea
vitisho dhidi ya maisha yake na kuwa hotuba hiyo ndio iliyokuwa yake ya
mwisho.Kasisi huyo ambaye alianza kuhubiri mjini humo mwaka wa 2012.
Kesi ya kupinga ushindi wa Museveni kuanza
Kesi ya kupinga ushindi wa Rais wa
Uganda Yoweri Museveni katika uchaguzi wa urais uliofanyika mwezi
uliopita itaanza kusikizwa Jumatatu.
Uamuzi huo umetolewa baada ya
kufanyika kwa kikao cha maandalizi ya kesi ambacho kwa mara ya kwanza
kimewakutanisha majaji na mawakili wa pande zote.02 Machi 2016
Chupi nyekundu na supu ya kuku
Wakati wa mtihani huwa mgumu kwa watu wengi, hususan Asia mashariki ambapo kuna shinikizo kubwa kwa watu kufaulu.
UEFA yaipiga marufuku Galatasaray
Klabu ya Uturuki Galatasaray
imepigwa marufuku ya kutoshiriki mashindano yeyote yalioandaliwa na
shirikisho la soka barani ulaya UEFA kwa kipindi cha miaka miwili kwa
kukiuka kanuni za uadilifu wa kifedha
Wanasayansi wagundua jeni zinazosababisha mvi
Wanasayansi wamebaini jeni
inayosababisha nyewele kuwa na mvi,ugunduzi ambao unaweza kutoa njia
mbadala za kuchelewesha ama hata kuzuia ishara hiyo ya uzee.
Upakaji rangi wa nywele unaweza kuzuia lakini utafiti huo wa jeni huenda ukazizuia nyewle kaa hizo kumea.Kundi la kimataifa la wanasayansi lilichukua violezo vya DNA vya takriban watu 6000 waliojitolea kutoka Ulaya,Marekani na
Mtaala mpya wa madereva wa pikipiki wazinduliwa TZ
Kufuatia ongezeko la visa vingi vya
ajali barabarani ,taasisi ya kitaifa ya uchukuzi NIT pamoja na Mamlaka
ya uchukuzi wa ardhini na baharini Sumatra zimezindua mtaala mpya wa
kuwafunza madereva wa pikipiki.
Idadi ya pikipiki nchini Tanzania
imeongezeka kutoka 308,412 mwaka 2010 hadi 1,047,659 kufuatia kuimarika
kwa biashara ya pikipiki.Ukuaji huo hatahivyo umekuwa na athari kubwa za ajali za barabarni huku data iliotolewa na
Mitumba kupigwa marufuku Afrika Mashariki
Viongozi wa nchi wanachama wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki waliokutana leo mjini Arusha, Tanzania
wameamua kupiga marufuku uagizaji wa nguo za viatu kuu vya mitumba.
Utekelezaji wake utakuwa baada ya miaka mitatu.Marufuku hiyo ni moja ya hatua zilizopendekezwa ilikuinua viwanda vya nguo katika kanda ya Afrika Mashariki.
Forbes:Dangote azidi kutajirika Afrika
Mtu tajiri barani Afrika kutoka
Nigeria Aliko Dangote amepanda katika watu matajiri katika orodha ya
Forbes ya watu mabilionea ,huku mali yake ikiongezeka na kufikia dola
bilioni 15.4.
Waliomuasi Kagame kufungwa miaka 22 jela
Aliyekuwa mlinzi wa rais Paul Kagame
na mshirika wake wanakabiliwa na hukumu ya miaka 22 gerezani kwa
kupanga njama dhidi ya kiongozi huyo wa Rwanda.
Afisi ya kiongozi
wa mashtaka nchini Rwanda imeitaka mahakama iwahukumu kifungo cha miaka
22 kanali Tom Byabagamba aliyeiongoza kikosi cha kumlinda rais , na
brigedia mstaafu jenerali Frank Rusagara kwa makosa ya kuchochea uma
dhidi ya rais Kagame.Maafisa hao wakuu jeshini walikamatwa mnamo mwezi Agosti 2014.
01 Machi 2016
Wanaoishi katika mapipa ya taka UK waongezeka
Idadi ya watu wasio na makao na
ambao sasa wanaishi katika mapipa ya taka inaendelea kuongezeka nchini
Uingereza kulingana na kampuni kubwa ya kuzoa takataka nchini humo.
Lakini ni kwa nini hili linatokea?''Katika barabara unatukanwa na hata kunyanyaswa.Usiku uliopita vijana wachache walikuwa wanatembea karibu yangu na mwengine akanipiga teke la uso.Lakini katika mapipa unaweza kujificha ili watu wasikuone.Kuna joto hakuna mtu anayejua ulipo,''George analezea kuhusu barabara ya Bristol.
Amekuwa bila makao tangu alipopoteza kazi yake ya uhandisi kabla ya krisimasi,na kumfanya kushindwa kulipa kodi ya nyumba.
Watafutaji kazi walazimishwa kuvua nguo India
Mamia ya vijana katika jimbo la
Bihar nchini India wamelazimishwa kuvua nguo ili kusalia na suruali zao
za ndani wakati wa mtihani wa kuajiriwa kwa wanajeshi ili kuzuia
kufanyika kwa udanganyifu.
Picha zimeonyesha vijana wanaowania
kuwa wanajeshi wakiwa wamekaa na kukunja miguu katika uwanja mmoja ulopo
mji wa Muzaffar huku wakiwa wamevalia suruali zao za ndani pekee.Jeshi limesema kuwa lilifanya hivyo ili kuhifadhi mda wa kuwachunguza makurutu wengi.
Nyama ya mbwa yauzwa Ghana
Hilo linafahamika kote duniani iwe ni Afrika, Ulaya ,Marekani na hata kusini mwa Marekani.
Kwa hali halisia kitoweo cha mbwa ni mwiko katika jamii nyingi barani Afrika,,,lakini sio nchini Ghana !
Mwandishi wa BBC wa idhaa ya kiingereza BBC Africa Akwasi Sarpong alipigwa na butwaa alipokuwa katika pita pita zake nchini Ghana alipokutana na wachuuzi wengi tu wakiuza minofu kwa bei nafuu
Jaji Thomas wa Marekani avunja ukimya
Jaji Clarence Thomas wa
mahakama kuu nchni Marekani amevunja ukimya wa miaka 10 wa kutouliza
swali mahakani wakati wakichangia hoja siku ya Jumatatu.
Osama aliacha dola milioni 29 kufadhili Jihad
Kiongozi wa kidini wa mtandao wa
kigaidi wa Al Qaeda Osama Bin Laden aliacha urathi wa dola milioni 29
kufadhili Jihad alipouawa mwaka 2011.
Wapenzi wa FIFA 2016 wataka Rashfold atuzwe
Watumiaji wa programu za michezo ya
kielektroniki wanawataka watengenezaji wa mchezo wa FIFA 2016
kuimarisha hadhi ya mchezaji chipukizi wa Manchester United , Marcus
Rashford.
Shinikizo hilo linafuatia mwanzo wenye ufanisi mkubwa
katika mechi zake za ligi kuu ya uropa na ile ya uingereza dhidi ya
Arsenal ambapo kijana huyo alifunga mabao mawili.Kulingana nao mchezaji huyo aliyefufua matumaini ya Manchester United msimu huu anapaswa kutambuliwa na kupewa hadhi ya juu
Bi Odinga: Nilikosea, Olduvai Gorge iko Tz
Mwanawe aliyekuwa waziri mkuu wa
Kenya, Raila Odinga, Rosemary, amekiri kuwa alikosea alipodai kuwa bonde
la Olduvai Gorge liko Kenya ilhali liko Tanzania.
RAISI WA FRIKA KUSINI AKABILIWA NA KURA YA KUTOKUWA NA IMANI NAYE BUNGENI
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma anakabiliwa na kura ya kutokuwa na imani naye bungeni leo, ikiwa ni mara ya pili katika kipindi kisichozidi mwaka mmoja. Kura hiyo ya kutokuwa na imani na rais Zuma imeitishwa na chama cha upinzani cha Democratic Alliance DA.Pia chama hicho
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)