01 Machi 2016
RAISI WA FRIKA KUSINI AKABILIWA NA KURA YA KUTOKUWA NA IMANI NAYE BUNGENI
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma anakabiliwa na kura ya kutokuwa na imani naye bungeni leo, ikiwa ni mara ya pili katika kipindi kisichozidi mwaka mmoja. Kura hiyo ya kutokuwa na imani na rais Zuma imeitishwa na chama cha upinzani cha Democratic Alliance DA.Pia chama hicho
kinajaribu kwa njia ya kisheria kurudisha tena mashtaka ya rushwa dhidi ya kiongozi huyo, baada ya kutumia kitita kikubwa cha fedha kukarabati makaazi yake ya binafsi kijijini anakotoka. Zaidi sikiliza matangazo yetu ya leo Jioni.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni