Wanasayansi wamebaini jeni
inayosababisha nyewele kuwa na mvi,ugunduzi ambao unaweza kutoa njia
mbadala za kuchelewesha ama hata kuzuia ishara hiyo ya uzee.
Upakaji rangi wa nywele unaweza kuzuia lakini utafiti huo wa jeni huenda ukazizuia nyewle kaa hizo kumea.Kundi la kimataifa la wanasayansi lilichukua violezo vya DNA vya takriban watu 6000 waliojitolea kutoka Ulaya,Marekani na
Waafrika
Jeni hiyo aina ya IRF4 husimamia nywele za kawaida,ngozi na rangi ya macho inayoitwa Melanin.
Mwanasayansi kutoka katika chuo cha London alisema:tayari tunajua jeni kadhaa zinazozohusishwa na kumea kwa upara, na rangi ya nywele na jeni zinazosababisha umbile la nywele.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni