Uteuzi wake umetangazwa na katibu mkuu Abdulrahman Kinana.
Msemaji
wa awali wa chama hicho alikuwa Nape Mosese Nnauye ambaye aliteuliwa
kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo.
Ole Sendeka amekuwa mbunge wa jimbo la Simanjiro tangu 2010.
20 Machi 2016
CCM yamteua msemaji mpya Tanzania
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni