25 Machi 2016

Karadzic ahukumiwa miaka 40 jela

Kiongozi wa zamani wa Waserbia wa Bosnia, Radovan Karadzic, amehukumiwa kifungo cha miaka 40 gerezani, baada ya Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya Uhalifu wa Kivita-ICTY, kumkuta na hatia ya uhalifu dhidi ya ubinaadamu.
Akisoma hukumu hiyo, Jaji kiongozi katika kesi hiyo, inayosikilizwa kwenye mahakama hiyo ya ICTY

Mwanajeshi wa Israel anashikiliwa kwa kumpiga risasi Mpalestina

Jeshi la Israel linamshikilia mwanajeshi wa nchi hiyo, baada ya picha za video kumuonyesha akimpiga risasi Mpalestina aliyekuwa amelala chini baada ya kusalimu amri.
Kwa mujibu wa jeshi la Israel, tukio hilo limetokea kwenye mji wa Hebron, katika Ukingo wa Magharibi,

Hakuna dalili ya kupatikana suluhu ya kudumu Syria

Wakati mazungumzo ya amani ya Syria yakiakhirishwa baada ya kufanyika kwa siku 10, bado hakuna dalili yoyote ya kupatikana suluhu ya kudumu katika mzozo huo.
Genf Friedensverhandlungen zu Krieg in Syrien - Staffan de Mistura mit Bashar al Jaafari Mjumbe wa serikali katika mazungumzo ya Syria Bashar al Jafari na mjumbe wa UN Staffan de Mistura

Watu 7 wakamatwa Brussels, Paris kwa ugaidi

Msako unaendelea barani Ulaya baada ya mashambulizi ya kigaidi ya Brussels, huku lawama zikiongezeka dhidi ya vyombo vya usalama kushindwa kuyazuwia mashambulizi hayo yaliyouwa watu zaidi ya 30.
Msako wa polisi wa Ubelgiji kwenye kitongoji cha Schaarbeek, Brussels. Msako wa polisi wa Ubelgiji kwenye kitongoji cha Schaarbeek, Brussels.

24 Machi 2016

Waisraeli huenda wanasaidia FBI kufungua simu

SimuKampuni moja inayohusika katika masuala ya ya usalama mtandaoni kutoka Israel inakabilwia na shinikizo la kuitaka ieleze iwapo inasaidia idara ya uchunguzi wa jinai ya Marekani kufungua simu ya iPhone.
Idara ya FBI ilisema Jumatatu kwamba huenda imefanikiwa kupata njia ya kufungua simu ya muuaji Syed Rizwan Farook aliyewapiga risasi watu katika eneo la San Bernardino, California, mwezi Desemba.
Gazeti moja nchini Israel limeripoti kuwa wataaamu kutoka kwa kampuni hiyo ya Cellebrite wanahusika katika kesi hiyo.

Attackers Spray-Paint ‘666’ on Adventist Church in Florida

Unknown vandals spray-painted inverted crosses and the numbers “666” on a Seventh-day Adventist church in the U.S. state of Florida in an overnight attack that surprised its pastor.
The symbols and other graffiti, some of it obscene, were scrawled on the concrete sign, fellowship hall, and pump house of the Jupiter Seventh-day Adventist Church near Palm Beach, pastor Richard Moseley said Wednesday.

four human characteristics

Every human being has a different nature. When he was in a new community, not a few individuals who have difficulty to adapt because he confronted by the diversity of these properties. But do you know that from dozens of human nature, there are actually only 4 basic character of human beings.
Then if all these characters, and how the characteristics.....?
This is 4 Basic of Human Characteristic, based on a psychology book (Personality Traits) which I read several years ago.

Basic first human character is the sanguine.
Someone who has high confidence, and easily adapt to other people can be said as a sanguinis. Usually someone who has sanguinis character, likes to gather with other such as have party and make lively situation. The appropriate job for sanguinis is marketing or public relation

After sanguine, second characteristic is melancholy.
As we know the word melancholy likely associated with the "graceful", then so does the melancholic person. Melancholy is often interpreted as the opposite character sanguinis. Someone who is melancholy tend to prefer solitude and became Sensitive. In this case sensitive is referred is to have a high enough sensitivity to a condition. It is not surprising that a melancholic woman could tear while seeing the movie drama. Whereas in the physical aspect, the oval-faced man could be classified into this category. Furthermore, the appropriate job of melancholy is a doctor or a psychologist.

Third Type of human character, is phlegmatic.
If you always show calmly and peace you could be categorized as individuals who have plegmatis. A plegmatis usually do not like conflict and tend to shy away from conflict. Besides that he also tend to be less expressive. And physically they usually have a round face.

The last characteristic is Koleris,
A leader is usually tend to have the basic character koleris. You remember with Margaret Teacher Not. A woman Prime Minister of Egypt, known for his leadership success. As a prime minister, Mrs. Teacher Margaret could be categorized as a Koleris.

A Koleris is known to have talent as a leader because of firmness in determining that there was something about him. But unfortunately the other side Koleris people have a weakness that is likely to make comment. The most people for this character usually has has a square face / jaw bones strong.
Although fundamentally human character can be divided into 4, but the psychology of the individual may not only consist of 1 character. For further review actually, every individual consists of more than one character. You would never find someone with one character. Usually there are more than 2 character in person. You must also often not heard the word "emotional". People who are emotionally in psychology tend to have 2 basic character of the opposite melancholic and sanguinis.
The person is usually able to easily demonstrate changes something on his faces. He could cry when facing sad condition on the other hand they will give nice laugh in funny situation. In addition, emotional person will looks more aggressive.
Whatever type of character of human nature, either melancholy, sanguinis, plegmatis, or the melancholy. Of course it has its own weaknesses and strengths. Most importantly perhaps it would be better if we can have a mature understanding of it in everyday social intercourse.
Then approximately, what it contained the basic character within each of us...? For a more objective answer would not hurt you to ask your friends or your closest family.

click here to test your character 

20 Machi 2016

Msichana anayevuja damu machoni

Huyu ni Marnie-Rae Harvey ambaye hutokwa na damu machoni lakini madaktari hawaelewi chanzo chake ni nini.
Msichana huyo mwenye umri wa miaka 17 anasema kuwa hawezi kutoka nje na hana marafiki kwa sababu kila mara huwa nyumbani kwao.
Amewatembelea wataalam wa macho na madaktari wa maswala ya uzazi,madaktari wa watoto na wataalam wengine kujua sababu ya tatizo hilo.

Utata kuhusu mwandishi wa DW Zanzibar

SalmaSiku mbili zimepita tangu kutoweka kwa mwakilishi wa kituo cha redio cha Sauti ya Ujerumani (Deutsche Welle) Salma Said visiwani Zanzibar na hadi sasa hajulikani alipo.
Taasisi za kiraia, mashirika mbalimbali ya kutetea haki za binadamu na jumuiya ya waandishi wa habari nchini Tanzania wamelaani kutekwa nyara kwa mwandishi huyo.
Mashirika mengine yameitaka serikali kuhakikisha kwamba Salma Said, mwenye umri wa miaka 45, anapatikana akiwa salama.

CCM yamteua msemaji mpya Tanzania

SendekaChama cha Mapinduzi nchini Tanzania kimemteua Christopher ole Sendeka kuwa msemaji wake.
Uteuzi wake umetangazwa na katibu mkuu Abdulrahman Kinana.
Msemaji wa awali wa chama hicho alikuwa Nape Mosese Nnauye ambaye aliteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo.

Moja kwa Moja: Uchaguzi wa marudio Zanzibar

14:00 Wawafahamu wagombea wote wa urais walio kwenye karatasi za kura visiwani Zanzibar? Kuna wagombea 14. Majina yao ndiyo haya:
Barabara
1 Khamis Iddi Lila ACT-W
2 Juma Ali Khatib ADA-TADEA
3 Hamad Rashid Mohamed ADC
4 Said Soud Said AFP
5 Ali Khatib Ali CCK
6 Ali Mohamed Shein CCM
7 Mohammed Massoud Rashid CHAUMMA
8 Seif Sharif Hamad CUF
9 Taibu Mussa Juma DM
10 Abdalla Kombo Khamis DP
11 Kassim Bakar Aly JAHAZI
12 Seif Ali Iddi NRA
13 Issa Mohammed Zonga SAU
14 Hafidh Hassan Suleiman TLP

Vikosi vya Kenya na al-Shabab vyapigana

Kumekuwa na mapigano kati ya wanajeshi wa kenya na wanamgambo wa al-Shabaab katika eneo la Lower Juba nchini Somalia.
Kuna ripoti za kukanganya kuhusu maafa.
Wanajeshi wa Kenya wanasema kuwa walivisiwa lakini wakafanikiwa kuwaua wanamgabo 21 licha ya wao kupoteza wanajeshi wawili.
Al-Shabab nao wanadai kuwa waliwaua wanajeshi 20 wa Kenya wakawakamata wawili na kuharibu magari yao sita.

Kwa jumla kuna chaguzi 5 barani Afrika


Uchaguzi unafanyika katika nchi tano za Afrika huku Senegal ikiandaa kura ya maoni kupunguza muhula wa rais.

Kituo cha Madungu Chake-Chake, Pemba wapiga kura hawajafika

Kituo cha Madungu Chake-Chake, Pemba wapiga kura hawajafika. Ni maafisa tu wa tume na maafisa wa usalama walio kituon






Nini maoni yako

07 Machi 2016

Magufuli amteua katibu mkuu mpya

Mhandisi John William Kijazi ameteuliwa kuwa katibu mkuu kiongozi nchini Tanzania.

Ubishi wa Messi na Ronaldo wasababisha mauti

 
Polisi nchini India wamemfungulia mashtaka ya mauaji mtu mmoja aliyemdunga kisu rafikiye

Tanzania yasubiri ripoti ya unyanyasaji UN


UN
Tanzania imesema inasubiri ripoti ambayo imewataja wanajeshi wa Tanzania kuwa miongoni mwa wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa wanaotuhumiwa kuhusika katika visa vya unyanyasaji wa kingono.
Jeshi la Tanzania linakabiliwa na tuhuma tatu za unyanyasaji wa kingono kati ya tuhuma 69 zilizoorodheshwa kwenye ripoti hiyo inayoangazia tuhuma zilizotolewa mwaka 2015.
Visa hivyo viliongezeka kutoka kwa visa 52 mwaka 2014 na 66 mwaka uliotangulia.

Korea Kaskazini yatishia kuishambulia Marekani

Korea
Korea Kaskazini imetishia kutekeleza mashambulio ya nyuklia dhidi ya Korea Kusini na Marekani iwapo nchi hizo mbili zitaendelea na mazoezi ya pamoja ya kijeshi.
Mazoezi hayo, ambayo hufanyika kila mwaka, mwaka huu yatashirikisha wanajeshi 300,000.
Serikali ya Korea Kaskazini imetoa taarifa ya ikitishia kutekeleza “shambulio la nyuklia kwa ajili ya haki”.

Kasisi mweusi ajiuzulu Ujerumani


Kasisi mkatoliki mzaliwa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kati DRC amelazimika kujiuzulu kazi yake nchini Ujerumani baada ya kutishiwa maisha.
Kasisi Olivier Ndjimbi-Tshiende, 66, aliwaambia waumini katika misa ya jumapili katika mji wa Zorneding, iliyoko Munich katika jimbo la Bavaria kuwa amepokea vitisho dhidi ya maisha yake na kuwa hotuba hiyo ndio iliyokuwa yake ya mwisho.
Kasisi huyo ambaye alianza kuhubiri mjini humo mwaka wa 2012.

Kesi ya kupinga ushindi wa Museveni kuanza

Mbabazi 
Kesi ya kupinga ushindi wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni katika uchaguzi wa urais uliofanyika mwezi uliopita itaanza kusikizwa Jumatatu.
Uamuzi huo umetolewa baada ya kufanyika kwa kikao cha maandalizi ya kesi ambacho kwa mara ya kwanza kimewakutanisha majaji na mawakili wa pande zote.

02 Machi 2016

Chupi nyekundu na supu ya kuku


Wakati wa mtihani huwa mgumu kwa watu wengi, hususan Asia mashariki ambapo kuna shinikizo kubwa kwa watu kufaulu.

UEFA yaipiga marufuku Galatasaray

Klabu ya Uturuki Galatasaray imepigwa marufuku ya kutoshiriki mashindano yeyote yalioandaliwa na shirikisho la soka barani ulaya UEFA kwa kipindi cha miaka miwili kwa kukiuka kanuni za uadilifu wa kifedha

Wanasayansi wagundua jeni zinazosababisha mvi


Wanasayansi wamebaini jeni inayosababisha nyewele kuwa na mvi,ugunduzi ambao unaweza kutoa njia mbadala za kuchelewesha ama hata kuzuia ishara hiyo ya uzee.
Upakaji rangi wa nywele unaweza kuzuia lakini utafiti huo wa jeni huenda ukazizuia nyewle kaa hizo kumea.
Kundi la kimataifa la wanasayansi lilichukua violezo vya DNA vya takriban watu 6000 waliojitolea kutoka Ulaya,Marekani na

Mtaala mpya wa madereva wa pikipiki wazinduliwa TZ


Kufuatia ongezeko la visa vingi vya ajali barabarani ,taasisi ya kitaifa ya uchukuzi NIT pamoja na Mamlaka ya uchukuzi wa ardhini na baharini Sumatra zimezindua mtaala mpya wa kuwafunza madereva wa pikipiki.
Idadi ya pikipiki nchini Tanzania imeongezeka kutoka 308,412 mwaka 2010 hadi 1,047,659 kufuatia kuimarika kwa biashara ya pikipiki.
Ukuaji huo hatahivyo umekuwa na athari kubwa za ajali za barabarni huku data iliotolewa na

Mitumba kupigwa marufuku Afrika Mashariki


NguoViongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki waliokutana leo mjini Arusha, Tanzania wameamua kupiga marufuku uagizaji wa nguo za viatu kuu vya mitumba.
Utekelezaji wake utakuwa baada ya miaka mitatu.
Marufuku hiyo ni moja ya hatua zilizopendekezwa ilikuinua viwanda vya nguo katika kanda ya Afrika Mashariki.

Forbes:Dangote azidi kutajirika Afrika

 
Mtu tajiri barani Afrika kutoka Nigeria Aliko Dangote amepanda katika watu matajiri katika orodha ya Forbes ya watu mabilionea ,huku mali yake ikiongezeka na kufikia dola bilioni 15.4.

Waliomuasi Kagame kufungwa miaka 22 jela


Aliyekuwa mlinzi wa rais Paul Kagame na mshirika wake wanakabiliwa na hukumu ya miaka 22 gerezani kwa kupanga njama dhidi ya kiongozi huyo wa Rwanda.
Afisi ya kiongozi wa mashtaka nchini Rwanda imeitaka mahakama iwahukumu kifungo cha miaka 22 kanali Tom Byabagamba aliyeiongoza kikosi cha kumlinda rais , na brigedia mstaafu jenerali Frank Rusagara kwa makosa ya kuchochea uma dhidi ya rais Kagame.
Maafisa hao wakuu jeshini walikamatwa mnamo mwezi Agosti 2014.

01 Machi 2016

Wanaoishi katika mapipa ya taka UK waongezeka


Idadi ya watu wasio na makao na ambao sasa wanaishi katika mapipa ya taka inaendelea kuongezeka nchini Uingereza kulingana na kampuni kubwa ya kuzoa takataka nchini humo.
Lakini ni kwa nini hili linatokea?
''Katika barabara unatukanwa na hata kunyanyaswa.Usiku uliopita vijana wachache walikuwa wanatembea karibu yangu na mwengine akanipiga teke la uso.Lakini katika mapipa unaweza kujificha ili watu wasikuone.Kuna joto hakuna mtu anayejua ulipo,''George analezea kuhusu barabara ya Bristol.
Amekuwa bila makao tangu alipopoteza kazi yake ya uhandisi kabla ya krisimasi,na kumfanya kushindwa kulipa kodi ya nyumba.

Watafutaji kazi walazimishwa kuvua nguo India


Mamia ya vijana katika jimbo la Bihar nchini India wamelazimishwa kuvua nguo ili kusalia na suruali zao za ndani wakati wa mtihani wa kuajiriwa kwa wanajeshi ili kuzuia kufanyika kwa udanganyifu.
Picha zimeonyesha vijana wanaowania kuwa wanajeshi wakiwa wamekaa na kukunja miguu katika uwanja mmoja ulopo mji wa Muzaffar huku wakiwa wamevalia suruali zao za ndani pekee.
Jeshi limesema kuwa lilifanya hivyo ili kuhifadhi mda wa kuwachunguza makurutu wengi.

Nyama ya mbwa yauzwa Ghana


Mbwa ni rafiki mkubwa wa binadamu.
Hilo linafahamika kote duniani iwe ni Afrika, Ulaya ,Marekani na hata kusini mwa Marekani.
Kwa hali halisia kitoweo cha mbwa ni mwiko katika jamii nyingi barani Afrika,,,lakini sio nchini Ghana !
Mwandishi wa BBC wa idhaa ya kiingereza BBC Africa Akwasi Sarpong alipigwa na butwaa alipokuwa katika pita pita zake nchini Ghana alipokutana na wachuuzi wengi tu wakiuza minofu kwa bei nafuu

Jaji Thomas wa Marekani avunja ukimya

Jaji Clarence Thomas wa mahakama kuu nchni Marekani amevunja ukimya wa miaka 10 wa kutouliza swali mahakani wakati wakichangia hoja siku ya Jumatatu.

Osama aliacha dola milioni 29 kufadhili Jihad

Kiongozi wa kidini wa mtandao wa kigaidi wa Al Qaeda Osama Bin Laden aliacha urathi wa dola milioni 29 kufadhili Jihad alipouawa mwaka 2011.

Wapenzi wa FIFA 2016 wataka Rashfold atuzwe


Watumiaji wa programu za michezo ya kielektroniki wanawataka watengenezaji wa mchezo wa FIFA 2016 kuimarisha hadhi ya mchezaji chipukizi wa Manchester United , Marcus Rashford.
Shinikizo hilo linafuatia mwanzo wenye ufanisi mkubwa katika mechi zake za ligi kuu ya uropa na ile ya uingereza dhidi ya Arsenal ambapo kijana huyo alifunga mabao mawili.
Kulingana nao mchezaji huyo aliyefufua matumaini ya Manchester United msimu huu anapaswa kutambuliwa na kupewa hadhi ya juu

Bi Odinga: Nilikosea, Olduvai Gorge iko Tz

 
Mwanawe aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya, Raila Odinga, Rosemary, amekiri kuwa alikosea alipodai kuwa bonde la Olduvai Gorge liko Kenya ilhali liko Tanzania.

RAISI WA FRIKA KUSINI AKABILIWA NA KURA YA KUTOKUWA NA IMANI NAYE BUNGENI


Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma anakabiliwa na kura ya kutokuwa na imani naye bungeni leo, ikiwa ni mara ya pili katika kipindi kisichozidi mwaka mmoja. Kura hiyo ya kutokuwa na imani na rais Zuma imeitishwa na chama cha upinzani cha Democratic Alliance DA.Pia chama hicho
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728