Justin TrudeauImage copyrightAFP
Image captionTrudeau ni mwanawe aliyekuwa waziri mkuu wa nchi hiyo marehemu Pierre Trudeau
Chama cha upinzani nchini Canada cha Liberal kimeshinda uchaguzi mkuu na kufikisha kikomo uongozi wa karibu mwongo mmoja wa chama cha Conservative.