MGOGORO WA KIDIPLOMASIA ULIOPO KATI YA TANZANIA NA KENYA
Ni zipi athari za hatua ya shirika la ndege la Kenya Airways kupunguza
safari zake kwenda Tanzania kufuatia hatua ya serikali ya Tanzania
kuweka vikwazo vya safari hizo kuhusiana na mvutano wa kidiplomsia kati
ya nchi hizo mbili za Afrika Mashariki?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni