22 Septemba 2016

13th Sabbath Offering for Clinic Results in Papua New Guinea Baptisms

A small church is now under construction in the remote village.

, South Pacific Adventist Record
A small clinic constructed through a Thirteen Sabbath offering just two years ago has resulted in two baptisms, requests for 23 more baptisms, and the establishment of a Seventh-day Adventist congregation in a remote area of Papua New Guinea.

Mwanasoka wa Sierra Leone, Bah afariki kwenye ajali

Mamadu Alphajor Bah (right)Aliyekuwa mwanasoka wa kimataifa, raia wa Sierra Leone, Mamadu Alphajor Bah amefariki dunia katika ajali mbaya ya

Yahoo yadukuliwa taarifa za watumiaji wake

Makao Makuu ya Mtandao wa YahooMtandao wa Yahoo umethibitisha kuwa wadukuzi wamedukua taarifa za zaidi ya watumiaji milioni mia tano katika akaunti zake za watumiaji.

Rais Buhari aiomba UN ijadiliane na Boko Haram

Hatima ya wasichana hao wa Chibok haijulikaniRais wa Nigeria, Muhammadu Buhari amekaribisha Umoja wa mataifa kujadiliana na Boko Haram katika kutafuta kumaliza uasi wa miaka 7 wa wanamgambo hao wa kiisalmu na kuwaokoa zaidi ya wasichana 200 wa shule waliotekwa kutoka Chibok.
Amesema yupo tayari kuwaachia wanamgambo waliokamatwa wa Boko haram ili kupata uhuru wa wasichana waliotekwa.
Lakini amesema ni vigumu

Fununu kuwa Apple inataka kuinunua kampuni ya McLaren?


McLaren inasifika ka kutengeneza magari ya kifahari ya kasi kwa miaka mingiRipoti kuwa kampuni ya Apple imekuwa ikitafakari kununua kampuni ya magari ya Uingereza McLaren kwa thamani ya $1.5bn mpaka hivi sasa zimepuuziliwa mbali na pande zote mbili.
Lakini kuna sababu kadhaa zinazofanya taarifa hizo zitiliwe uzito.
Kwanza, tumefahamu kwa muda sasa kuwa Apple inashughulikia teknolojia inayohusiana na magari.

Misaada yaanza kutolewa tena Misri, baada ya kusitishwa

Madhara ya vita SyriaUmoja wa Mataifa umefanikiwa kufikisha misaada ya kibinadamu katika kitongoji kinachokaliwa na waasi cha Moadamiya, Damascus.

Jeshi la Syria limetangaza kuanza tena mapigano makali

Mapigano mapya SyriaJeshi la Syria limetangaza kuwepo kwa mapigano mapya makali, kutaka kurudisha eneo linalodhibitiwa na waasi huko Aleppo, ambako takriban watu laki mbili na nusu wamezingirwa.
Jeshi hilo limewataka pia raia kujiepusha kuwa katika maeneo yanayoshikiliwa na waasi.
Limesema njia za kutoka katika maeneo yanayoshikiliwa na waasi zimewekwa wazi kuruhusu watu kutoka.
Tangazo hilo limekuja siku chache baada ya

Hali ya hatari imetangazwa katika mji wa Marekani

Familia wanasema Bwana Scott alikuwa anasoma kitabu alipouawa, lakini polisi wanasema alikuwa amebeba silahaGavana wa jimbo la North Carolina ametangaza hali ya hatari katika mji wa Charlotte, wakati ghasia zinaendelea kufuatia polisi kumuua mwanamume mweusi.
Ghasia zilizuka kwa usiku wa pili baada ya kuuawa Keith Lamont Scott kwa kupigwa risasi na afisa mweusi Jumanne.
Muandamanaji mmoja yupo katika hali mahututi baada ya kuzuka

Progamu ya Windows 10 lawamani

Mkurungezi mtendaji mkuu wa Microsoft Satya NadellaKampuni ya Microsoft imeshtumiwa na kundi la haki za wateja la Consumer Rights dhidi ya programu yake ya Windows 10.
Kundi hilo limesema limepokea mamia ya malalamishi kuhusiana na uboreshaji wa programu hiyo .

Je unavitambua vyuo vikuu bora duniani?


Chuo kikuu cha Oxford UingerezaChuo kikuu cha Oxford kimeibuka kidedea katika orodha ya vyuo vikuu bora duniani ya Times Higher Education. Hi ni mara ya kwanza kwa chuo kikuu cha Uingereza.
Oxford imeisukuma katika nafasi ya pili, California Institute of Technology, ambayo imekuwa ikiongoza orodha hiyo kwa miaka mitano iliopita .

Dangote kuinunua Arsenal katika kipindi cha miaka 4


Mtu tajiri barani Afrika kuinunua ArsenalAliko Dangote, mtu tajiri zaidi barani Afrika,ana mpango wa kuinunua klabu ya Arsenal kutoka nchini Uingereza katika kipindi cha miaka minne.
Dangote ambaye ni raia wa Nigeria ana thamani ya dola bilioni 10.9,kulingana na orodha ya watu tajiri duniani iliotolewa na runinga ya Bloomberg mjini New York siku ya Jumatano, alitangaza nia yake ya kukinunua klabu hicho mwaka uliopita.

Rais wa Botswana ''amtaka Mugabe kujiuzulu''

Rais wa Botswana kushoto Ian Khama na mwenzake wa Zimbabwe Robert MugabeRais wa Botswana Ian Khama amemtaka mwenzake wa Zimbabwe Robert Mugabe kujiuzulu mara moja kulingana na chombo cha habari cha Reuters.

10 Julai 2016

Korea Kaskazini yarusha kombora jingine


Maafisa wa kijeshi nchini Korea Kusini wanasema Korea Kaskazini imejaribu kurusha kombora kutoka kwa manowari ya kivita na kukiuka vikwazo vya kimataifa
Wanasema kuwa kombora hilo hatahivyo lilifeli muda mfupi baada ya kurushwa
Urushaji huo wa kombora unajiri baada ya Korea Kusini na Marekani kukubaliana kuweka

Sudan Kusini:Idadi ya waliouawa haijulikani

Ripoti kutoka mji mkuu wa Sudan Kusini Juba ,zinasema kuwa mili mingi imepelekwa katika hospitali kuu ya mji huo baada ya ufyatulianaji mkali wa risasi kuibuka karibu na nyumba ya rais siku ya Ijumaa.

Polisi wakanusha kuzuia mikutano ya kisiasa TZ

Jeshi la polisi nchini Tanzania limetoa ufafanuzi kuwa halijazuia mikutano ya vyama vya kisiasa
Katika taarifa yake,limesema kuwa kile lilichozuia ni mikutano ya hadhara ambayo lilihisi itavuruga hali ya usalama
Hivyobasi jeshi hilo sasa limewataka wananchi kupuuza taarifa kuwa wao walizuia mikutano ya kisiasa.
"Jeshi la Polisi linapiga marufuku maandamano na mikutano ya hadhara kuanzia tarehe

15 Mei 2016

UN: Uhusiano wa Boko Haram na IS ni tishio

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limeelezea wasiwasi wake kuhusu kasi ya kuimarika kwa

Kagame akana kuwasaidia waasi Burundi

Rais wa Rwanda Paul Kagame amekana madai yaliotolewa na Umoja wa

Mashabiki 12 wa Real Madrid wauawa na IS Iraq

Wapiganaji wa kundi la Islamic State wameshambulia mgahawa mmoja unaotembelewa na mashabiki wa Real Madrid na kuwaua watu 12.

Korea Kaskazini yazuia meli ya Urusi

Mashua kutoka Urusi imezuiliwa na walinzi wa pwani wa Korea Kaskazini, katika Bahari ya

Mhudumu wa Trump ataka Obama auawe

Huduma ya ujasusi ya Marekani imeanzisha uchunguzi baada ya aliyekuwa muhudumu mkuu wa nyumbani kwa Donald Trump kutaka rais Barrack Obama auawe.

Mwanamke aunda boti lenye umbo la uke wake Japan

Mahakama moja ya Japan imempata msanii mmoja bila hatia ya kutengeza boti iliyofanana na uke wake.

07 Mei 2016

Papa Francis ametunukiwa tuzo

Papa Francis ametunukiwa tuzo ya Charlesmagne ya mji wa Ujerumani wa Aachen. Kwa kutunukiwa zawadi hiyo, jopo linalosimamia tuzo hiyo limetaka kusifu juhudi zake kuleta amani, masikilizano na huruma Ulaya.

Wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania wamekuwa wakikabiliwa na changamoto ya kupata mikopo

Wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania wamekuwa wakikabiliwa na changamoto ya kupata mikopo kutoka kwa bodi ya mikopo kutokana na bajeti kuwa ndogo. Mwenyekiti wa baraza la marais wa vyuo vikuu Tanzania, Boniphace Maiga Juma analizungumzia tatizo hilo katika Kinagaubaga.
http://dw.com/p/1Ij1a

Msichana asiye na mikono ashinda tuzo la muandiko bora


Msichana wa miaka saba aliyezaliwa bila mikono ameshinda shindano la muandiko mzuri nchini Marekani.
Anaya Ellick kutoka Chesapeake,Virginia hatumii viungo vya kumsaidia wakati anapoandika.

Kesi ya Mohammed Morsi yaahirishwa

Mahakama ya Misri, imeahirisha kesi ya rais wa zamani, Mohamed Morsi, na watu wengine 10, kwa mashtaka ya kutoa siri za taifa kwa Qatar.

Dini hudhuru wanafunzi, wizara ya elimu China yasema

DiniSerikali katika mkoa wa Gansu, China imeagiza wasimamizi wa shule kutekeleza kikamilifu marufuku ya kutokubalia shughuli zozote za kidini shuleni.

Naibu kamanda wa kundi la mauaji Rwanda akamatwa

Wakuu wa Jamhuri ya Demokrasi ya Congo wanasema wamemkamata naibu kamanda wa

02 Mei 2016

Trump asema Uchina “inaibaka” Marekani


TrumpMgombea mkuu wa chama cha Republican Donald Trump ameshutumu Uchina na kusema imekuwa “ikiibaka” Marekani kupitia sera zake za kibiashara.
Ameambia watu waliohudhuria mkutano wa kisiasa Indiana kwamba Uchina imekuwa ikitekeleza “wizi mkubwa zaidi kuwani kutekelezwa katika historia ya dunia.”
Bw Trump, mfanyabiashara tajiri kutoka New York, amekuwa

Mtaalamu aliyejiita Nakamoto ajitambulisha

WrightMjasiriamali mashuhuri nchini Australia Craig Wright amejitambulisha hadharani kwamba ndiye Satoshi Nakamoto aliyevumbua teknolojia mashuhuri ya sarafu ya mtandaoni ijulikanayo kama Bitcoin.

CIA yashutumiwa mtandaoni kwa sababu ya Osama

OsamaShirika la Ujasusi la Marekani (CIA) limeshutumiwa mtandaoni kwa kusimulia moja kwa moja matukio yaliyopelekea kuuawa kwa Osama Bin Laden.

Meli kubwa ya Marekani yaelekea Cuba

 
Meli ya kifahari ya Marekani imeanza safari yake kuelekea Cuba ikitokea nchini Marekani kwa mara ya kwanza katika kipindi cha zaidi ya miaka hamsini iliyopita.

Binti wa Obama, Malia kusomea Harvard

Mwanaye rais wa Marekani Barack Obama, Malia, amefuzu kujiunga na chuo kikuu cha Harvard.
Taarifa kutoka ikulu ya White House imesema kuwa Malia ambaye amekuwa mapumzikoni baada ya

08 Aprili 2016

Madiwani Shinyanga wabariki mradi wa mashoga na machangudoa

[​IMG]

Wakati serikali ikiendelea na zoezi la kamata kamata ya wanawake wanaojihusisha na biashara ya ngono “kuuza miili yao” Madiwani wa

Dhoruba ya kashfa ya "Panama Papers"


Dhoruba ya kashfa ya "Panama Papers" inaendelea kufukuta wakati Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron akikiri kwamba alimiliki hisa zenye thamani ya pauni 30,000 katika kampuni ya baba yake iliyoko Panama. Je, Cameron anatakiwa kujiuzulu?

Yanga kutesa nyasi na Al Ahly jijini Dar

YangaKlabu ya Young Africans itashuka dimbani kesho Jumamosi kucheza dhidi ya miamba wa Misri Al Ahly hatua ya 16 bora katika Ligi ya Mabingwa barani Afrika (CAF CL).

Liverpool yatoka sare na Dortmund

 
Divock Origi aliifungia Liverpool bao muhimu la ugenini katika mechi yao ya raundi ya kwanza ya nusu fainali dhidi ya Borussia Dortmund ya Ujerumani.

Tyson Fury kuzichapa tena na Klitschko

Pigano la marudio kati ya Tyson Fury na Wladmir Klitschko litaandaliwa mjini Manchester mnamo mwezi Julai tarehe 9 kulingana na mkufunzi wa bondia huyo wa Uingereza.

Mwanafunzi wa kiume anayepata ''hedhi''

 
George Fellowes ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwenye umri wa miaka 22 na anaamni kwamba hata yeye hupatwa na ''hedhi ya kiume''.

Papa Francis ataka mabadiliko kuhusu familia

Papa FrancisKiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis amechapisha mwongozo mpya kuhusu maisha ya familia ambapo anahimiza kanisa litambue zaidi uhalisia wa maisha ya siku hizi.

Simu mpya aina ya Smartphone zaingia Dar es Salaam

 
Kampuni ya Zuri ilio na makao yake mjini Hong Kong imezindua rasmi simu aina ya Smartphone katika soko

Mvulana aokolewa baada ya kutuma ujumbe 'Sipati hewa'

 
Mvulana mmoja raia wa Afghanistan ambaye alikuwa ndani ya lori aliokolewa na maafisa wa polisi wa Uingereza baada ya kutuma ujumbe kwamba anakosa hewa.

Daraja la kuunganisha bara Afrika na Asia kujengwa

Mfalme wa saudia ametangaza kwamba daraja linalounganisha taifa hilo na Misri litajengwa juu ya bahari ya shamu.

Rais wa Chad awania muhula wa tano

Rais wa Chad ambaye ni miongoni mwa marais wa Afrika waliohudumu kwa mda mrefu mamlakani

06 Aprili 2016

Wolfsburg 2-0 Real Madrid: Zidane's men shocked by battling hosts

Wolfsburg 2-0 Real Madrid: Zidane's men shocked by battling hosts

An injury to Karim Benzema added to a poor night for the visitors, whose mistakes were seized upon by the home team as Rodriguez and Arnold did the damage
Real Madrid's hopes of taking the Champions League crown were dealt a blow thanks to exceptional Wolfsburg, who downed the Spanish giants 2-0 to take a commanding lead in the quarter-final tie. 

PSG 2-2 Manchester City: Fernandinho bags vital equaliser to save Fernando's blushes

PSG 2-2 Manchester City: Fernandinho bags vital equaliser to save Fernando's blushes 
The European heavyweights went toe-to-toe in a frantic first-leg encounter in the French capital, with Fernandinho netting an important second to level the scoreline for City

Makala awabana mabosi wa Tanroads Mbeya



Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makala

Aliyekuwa nyota wa filamu za ngono afariki usingizini

 
Aliyekuwa nyota wa filamu za ngono Amber Rayne amefariki nyumbani kwake mjini Los Angeles ,maafisa wamethibitisha.

Suarez,Vardy na Aubameyang ndio bora Ulaya


Mshambuliaji wa kilabu ya Barcelona Luis Suarez aliyefunga mabao mawili siku ya Jumanne dhidi ya

Burundi yarejesha Rwanda mwili wa Bihozagara

Burundi imesafirisha mwili wa aliyekuwa waziri wa Rwanda kufuatia kifo chake cha ghafla akiwa kizuizini juma lililopita.

Tanzania na Rwanda zafungua ukurasa mpya

 
Rwanda na Tanzania zimeahidi kushirikiana zaidi kibiashara katika ukurasa mpya wa uhusiano baina ya mataifa hayo jirani.

Mamba mkubwa auawa Florida

LightseyMamba mkubwa mla ng’ombe ameuawa katika jimbo la Florida nchini Marekani.
Mnyama huyo alikuwa na uzani wa kilo 360.
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728