Mpita njia ajeruhiwa kwa Risasi na Majambazi waliovamia na kupora ktk duka la Pesa Morocco, Kinondoni - Dar
- Majambazi walivamia kiduka cha M-PESA, tiGO PESA na Airtel Money; wakati wanaondoka wakawa wanapiga risasi ikampata huyu dada aliyekuwa anapita barabarani hajui hili wala lile
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni