Lile bifu lililowahi kutokea kati ya staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Video queen maarufu hapa Bongo Husna Maulid limeingia ukurusa mpya, ambapo Lulu ameibuka hadharani na kumtaka hasimu wake huyo kukaa mbali na yeye kwani hamuwezi kwa lolote, chanzo cha bifu ni
mwanaume ambaye awali alikuwa akitoka na Husna na baadae Lulu kumpiku rafiki yake, ambapo aliiba namba ya mwanaume huyo na kuanza kujitongozesha... msikilize Lulu chini
"Haya haya...mwenzenu uswahili niliacha Sema Naomba leo niuridie kdgo na Tafadhali kwa ndugu,jamaa,Marafiki na yyte. Mwenye uwezo ww kumfikia Mtu anaitwa HUSNA MAULIDI mtanisaidia ku munch na kumfikishia huu ujumbe....
ANGALIZO:Post hii itakaa kwa dk5tu....sihiitaji Post Virus in my New n fresh Page...! Mwambieni na YEYE nilishamwambia ANIACHE mana inaonekana hawezi kukaa muda bila kunitaja au kuniongelea..! Ni hivi huu ni mwaka wa pili probably umekuwa UNAONGEA SANA on social media Lkn mm Nakaa kimya...
Sio mjinga mwenzio...nakuepuka usijekuwa unatafuta pa kufia bureee...2nd stop competing wth me shooo tuko tofaaaaaaaaaautiiiiii my friend Hivi ushangai mtu hana Muda na ww LKN we hakukauki mdomoni..! Me sikutukani ila naomba ujumbe ukifie tu....ungefanya kama hujawahi kuniona wala kunijua tokea umezaliwa mana me nishafanikiwa kwa hilo..hakuna kipengele ulichobaki kwenye akili yangu hata kwa bahati mbaya..! I thnk ukiacha kutafuta Kiki za kisen** kupitia mm bdo utakuwa wewe tu n nothing will change...!Oky bi dada
Angalizo:sio kama sijui matusi,na maneno ya shombo ninayo pia ila nimeamua kutumia Busara tu...!" Aliandika staa huyo kwenye ukurasa wake wa instagram.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni