Baadhi ya wananchi wa Uganda wametoa maoni yao kufuatia kauli iliyotolewa na Dokta Simon Lokodo ambaye ni Waziri anayehusika na maadili nchini humo.
Dokta Lokodo ameripotiwa akisema kwamba kiwango cha maambukizo ya ugonjwa wa ukimwi kimekuwa kikubwa kutokana na watu hivi sasa wamechagua kufanya ngono badala ya kwenda kula chakula cha mchana.
Aliyasema hayo mjini Gulu na kusisitiza kuwa tendo la ndoa kwa sasa, limekosa maana hasa kwa vijana.Halima Nyanza amezungumza na Mwandishi wa BBC mjini Kampala Siraj Kalyango, kutaka kujua kauli hiyo ilivypokelewa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni