Mpaka sasa wanachama watatu kutoka Chama Cha Mapinduzi, wametangaza rasmi kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi kugombania nafasi ya Urais katika
uchaguzi mkuu mwaka huu.
- Je, Unadhani kati ya waliotangaza nia mpaka sasa kuna ambaye ana uwezo wa kupokea kijiti kutoka kwa Rais Jakaya Kikwete?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni