02 Juni 2015
Serikali ya Burundi imesema iko tayari kutafakari ombi
Serikali ya Burundi imesema iko tayari kutafakari ombi lililotolewa na viongozi wakuu wa mataifa ya jumuiya ya Afrika Mashariki jana, kuhusu kuahirisha uchaguzi wa rais kwa alau mwezi moja na nusu, wakati nchi hiyo ikikumbwa na maandamano na vurugu kupinga azma ya rais Pierre Nkurunziza kugombea muhula wa tatu, ambamo watu zaidi ya 30 wameuawa.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni