11 Juni 2015

Mataifa yaombwa kuungana dhidi ya IS

waziri mkuu wa Australia Tonny Abbot
Waziri mkuu wa Australia, Tony Abbott, ameyaomba mataifa ya Asia-Pacific kuungana ili kusaidia katika vita dhidi ya makundi ya kigaidi.

Abbot amewaambia mawaziri kutoka kwa mataifa 25 katika mkutano wa kikanda unaofanyika mjini Sydney kuhusu usalama.
Amesema kuwa kundi la Islamic State lina nia ya kutawala dunia, huku akielezea kuwa hilo ni kundi la mauti, lenye mafunzo mabaya ya itikadi kali.
Waziri huyo mkuu ameongeza kuwa Australia imeamua kuzuia raia wa nchi hiyo kujiunga na wanamgambo wa Islamic State
wapiganaji wa islamic state
Amesema hayo muda mfupi baada ya Rais Barrack Obama kuidhinisha wakufunzi 450 wa jeshi la Marekani, kwenda Iraq.
White House sasa inasema kuwa ina imani mikakati yake ya kutoa mafunzo kwa vikosi vya kiusalama vya Iraq na kuwaingiza jeshini wapiganaji wa kikabila wa Sunni, itafaulu katika mapambano dhidi ya wanamgambo wa Islamic State

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU
KUWEKA TANGAZO LAKO HAPA NI BEI NAFUU

TANGAZO LA KAZI -Commited youth agricultural organisation CYAO is looking for a person who is specialised in agriculture

POSITION DESRIPTION;

Agricultural Technician

Qualifications

Diploma in agriculture

Mode of application applicant must send an updated Cv,birth cirtificate,one recent passport size, an accademic cirtificate, age limit 20 to 35

apply to Project cordinator,Commited youth agriculture organisation,P.O.Box 78438 Dar es salaam or you can call through +255657990920/+255754823728