Mtanazaji wa kipichi cha Televisheni cha TAKE ONE cha maswala ya filamu hapa bongo, Zamaradi Mtetema ameeleza kurudi rasmi wiki hii kukiendesha kipindi hicho kinarusha na Clouds TV baada ya kumaliza mapumziko yake.
Ninarudi Rasmi kwenye TAKE ONE jumanne hii hapa... na kuna vitu vingi vilivyojiri wakati sipo lakini utapata nafasi ya kuona vyote.... vitu ni vingi na muda ni mdogo na hatujui tuanze na kipi maana kuna
1. YALIYOJIRI KWENYE BABY SHOWER YA AUNTY EZEKIEL
2.FILAMU ILIYOFANYWA NA ALIEKUWA MUME WA IRENE UWOYA (Ndikumana)
3.EXCLUSIVE INTERVIEW NA WEMA SEPETU
4.EXCLUSIVE INTERVIEW NA AUNTY EZEKIEL pamoja na MOSE IYOBO
5.YALIYOJIRI KWENYE TUZO ZA FILAMU ZA TAFFA
6. MAELEZO YA SHAMSA FORD BAADA ya kuachana na BABA WATOTO WAKE na pia kuhusu mahusiano yake na NAY WA MITEGO
7. UCHAMBUZI WA FILAMU ALIYOFANYA VAN VICKER na watanzania na VITU VINGINE VIIIINGI SANA maana ni ngumu kumention vyote...
Haya nakuachia wewe kama mdau wa kipindi... JUMANNE HII UNGEPENDA TUANZE NA KIPINDI GANI KATI YA HIVYO JUU!!?

Zamaradi aliandika hayo kwenye ukursa wake mtandaoni
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni